Hawa wanawake wako dunia ipi?

Hawa wanawake wako dunia ipi?

humu ni usanii tu, kwanza watu wa mtandaoni wote mambo safi na wanawake wote warembo. teheeeeeee!

wote wasomi ,kwa wanaume kujisifu mechi za kitandani wanazijua, wamejaaliwa mitalimbo yaani ni shidaaaa...
 
wote wasomi ,kwa wanaume kujisifu mechi za kitandani wanazijua, wamejaaliwa mitalimbo yaani ni shidaaaa...

Ila wanaume wengi husema ukweli sio kama nyie akina dada mmezidi ku-fake..
 
wote wasomi ,kwa wanaume kujisifu mechi za kitandani wanazijua, wamejaaliwa mitalimbo yaani ni shidaaaa...

yaani we acha tu, ndio maana watu wakiwa wanatafta wachumba humu tunawashauri watafte tu mtaani maana hao ndio wanaishi maisha halisia. maisha ya mtandaoni ya kuigiza sana.
 
wewe acha hizo juzi haukugombania gari la gombo la mboto pale buguruni

Atakuwa yule mdogo wangu,, tena labda gari yake ilikuwa mbovu maana sio kawaida yake kupanda daladala........
 
Back
Top Bottom