Hawa wanawake wako dunia ipi?

Hawa wanawake wako dunia ipi?

Ni kweli kiongozi, wengi wa wanawake wasiopenda kusema ukweli au wenye matanio ya kuwa na perfect men ni wale ambao wapenzi wao au waume zao hawapo humu mitandaoni au kama wapo ni wale walioblock hao wapenzi wao. Cofirmation ni kwamba hawa wa sio real, (magirini)
 
Ndo sisi tunakutana sokoni nanunua dagaa, nyanya chungu n.k
nahemea vitumbua vya kunywea chai pale kwa bibi athumani
ila huku ntaandika natoka shopping supermarket nimenunua fillet na hapo kwenye vitumbua ntasema nimekula baga
Mupenzi anaishi nyumba ya pili kutoka hapa uswazi kwetu anazurura tu ila huku ntasema yupo nje kikazi
rahaaa utamuuuuu
Asee ni kweli kabisa
 
Kwenye mitandao ya kijamii kila uchao kuna mavituko

Hawa walioko kwenye mitandao ya kijamii wanatoka hukuhuku mitaani tunakoishi

Lakini wanayoyasema huku mitandaoni hayapo kabisa huko mitaani

Hawa wa mitandaoni ni wema sana
Hawawatendi wenzao ila wao tu ndio wanaotendwa
Hawataki maisha ya fedha kwani wanadai eti hela inatafutwa

Bora hayo ila kali ni hii hapa

View attachment 150789
Wanataka wanaume ambao wakiwa faragha basi jamaa apige mzigo kama vile anaendesha baiskeli
Lakini hawa wa huku mitaani hawataki hiyo kitu,wakiwa faragha hawataki ule biashara ya kupiga mzigo kama vile kesho haipo na ukilazimisha kupiga sana mzigo utakuja kujikuta una makovu mengi sana ya meno kifuani au sehemu zingine za mwili kutegemea na style umliyokuwa nayo wakati wa"mechi"

Wana isemo yao....Eti "mwanaume gani anakung'ang'ania kitandani utadhani kupe"?
"Anatwanga utadhani hii ni kinu"

Wa mitandaoni bana......
Hawa wa huku mitandaoni wanataka dushe kubwa

Wa mitaani
Hawa wa huku mitaani wao ukiwa na dushe kubwa utasikia tu wanakusema mitaani "mwanaume gani ana dushe kama mguu wa mtoto"?Huwa wanalalamika eti ukienda faragha na mwanaume huyo kesho yake utadhani umejifungua"

View attachment 150791

Huwa tu najiuliza hawa wanawake ambao kila uchao wanakuja huku na kulalamikia sijui vibamia na uchovu wa wanaume huwa wanapatikana wapi?

Maana hawapo kabisa na kama wapo basi ni wachache sana

Ki ukweli kuna utofauti mkubwa sana kati ya maisha ya mtandaoni na ya mitaani,ukiyachukulia haya maisha hapa serious imekula kwako kabisaaaaa!
Huku wanaume wote tunajua Kumlizisha mwanamke na tunapga goli 5 lakin real world dah acha,wadada wote humu wanataka madushelele makubwa kama mandingo mAisha yetu yamekuwa feki sna
 
Back
Top Bottom