UK wanaishi wasema kweli...!!Kwani UK wanaishi malaika?
We umejeaje kuwa hawa fake?
UK wanaishi wasema kweli...!!
Kwanza, wanatumia majina halisi.
Pili, wanatumia picha halisi.
Tatu, ukihitaji kuonana nao wanakubali hawasumbui.
Nne, wanaogopa dhambi ya uongo.
Tano, hawajui kufake kabisa.
Ngoja nijitafutie jina ntakwambia.
Kumbeeee
Ngoma droo maana yake nini?
Unaweza kunipa?
Inategemea na mtongozo wako..
LOL...............Waaalah natamani ningeambiwa mimi haraka kama kimbung'a ungeniona pm.
hebu mwite naye bibie Nameless aje apate uhondo huu...... Heshma yako mkuu
^^
teh teh umepata pesa za kumpa lakini? Mie mzima Mkuu, hofu kwako
^^
pesa za nn tena mkuu?
^^
Kumbukumbu zangu zinaniambia ulisema unamwita shemeji kwa sababu huna pesa, i.e why nikakuuliza umezipata?
^^
Mimi yangu kimweku mweku cha mchina nafunga na mpira kwani imeachiana ni zile za elfu 30000/=tsh tu.Tuanze na zoezi dogo tu kama unajiamini uko real hufake life,kila mtu ataje real cm anayotumia,me natumia Samsung at&t sg 4G kwa wale wanazifahamu na kalumia 620 wewe je?
hahahaaaa! Dah! Hapana mkuu namwita shemeji kwaajili yako..... Siwez kuvaa viatu vyako mkuu hapo ntakuwa nakutafuta