Mmmmhhhh,,ina maana hata huo u-cute wako ni fake??
Niko more than cute........
Hakitokomezwi kitu watu tupo sokoni....
Ugonjwa wa ku fake au?
Wewe huyu anaishi jirani na shangazi yangu mabatini kule mlimani juu,,halafu wanawake wa kule wote wana vigimbi sababu ya kupanda milima..
Mi naishi masaki wazazi wangu walihamia daslam kikazi
yani pale pale ubungo kwa pembeni ndo masaki kwetu
jirani kabisa na ghorofa Lao charminglady
Acha zako wewe
Huko daslam kwenye mabugando mengi hujawahi kufika kabisa
Na huyo mwenzako nae yuko kwao nilikokuambia analima mihogo!
heeeee naishi mbezi beach tangi bovu nyuma ya kanisa la KKT geti jeusi utamkuta mlinzi wetu
leo tauwa mliani city ntkuwa na HARRIER BMD 307...For short time pale SAMAKI SAMAKI.
jioni ntakuwa msasani SHOPRITE
UUUUUUwiiiii nakufa mie kumbe nipo bonde la msimbzi au keko mafuriko yanenanisumbua
jaman achen mitandao na uongo wake
Shhhhh hapa ni mtandaoni sema anaishi capripoint tu yaishe
Hahaha sasa soko mbona limeshaanzwa kushtukiwa??
Huko sokoni unauza nini?
Nikikutongoza na wewe utafake?