Kweli kabisa mkuu
Nadhani hapa wengi wetu ni watu wa maisha ya chini na kati
Hii mambo ya kujidai kuwa una maisha bora halafu kumbe ni hovyo sio vyema
Bora mimi na Mtambuzi tunajuana kabisa kule uswazi kwetu
Siku nikipigika nakwenda kwa Mama Ngina ananipa ka ugali siku inakwenda!
We niseme natumia tecno? Unione wa kiswaz wakati nataka unione wa kishua?Sasa kwanini msibadilike bana?
Kama tupo wote mtaani useme tu na kama ni wa uswazi unasema tu!
Kweli kabisa mkuu
Nadhani hapa wengi wetu ni watu wa maisha ya chini na kati
Hii mambo ya kujidai kuwa una maisha bora halafu kumbe ni hovyo sio vyema
Bora mimi na Mtambuzi tunajuana kabisa kule uswazi kwetu
Siku nikipigika nakwenda kwa Mama Ngina ananipa ka ugali siku inakwenda!
kutojuana ndiyo husababisha hayo. Ukiangali jins watu wanavyoelezea maisha yao humu unaweza kudhan wote wanamaisha ya juu. Lakin kumbe tunaishi chumbakimoja cha kupanga tena cha elf20. Mtu atakwambia ninausafir wang kumbe kila siku anapanda bajaji......
We niseme natumia tecno? Unione wa kiswaz wakati nataka unione wa kishua?
tecno yangu nimeifunga na rubber band battery isianguke ila coment yangu chini imesindikizwa na maneno matamu
"sent from my ipad using jamiiforums"
Ha ha ha kwenye picha ana rasta ila kama unapanga kumuona jiandae kwa yote
unaweza kukutana na bonge la kipilipili....
Husninyo hebu muondolee baba paroko hili dukuduku
Hahahahahaaaaa
Manenaaa zako ...lol!!!!!!!!
Evelyn Salt, leo umeongea vizuri sana... nitafute tupate lunch pamoja..(ila ni kwa mama ntilie)
Mmmh Eli mwenzio sijazoea kula kwa mama ntilie napendelea kupata lunch malaika beach resortEvelyn Salt, leo umeongea vizuri sana... nitafute tupate lunch pamoja..(ila ni kwa mama ntilie)
Afu nanyie mkiona hivi vimbwembwe vya kishua mnazuzuuka
mnashinda pm kutongoza, kutuma namba zenu he he he
wanaovutiwa na watu wa mitandaoni nao ni fake tu