Hawa wanawake wako dunia ipi?

Hawa wanawake wako dunia ipi?

Kweli wanawake na fikra zao za kusadikika yani wao kwenye mawazo yao huwa wanamuumba mwanaume wanae mtaka, awe handsome awe na hela awe anampiga bao za kutosha N.k, ila ukweli ni kwamba ukija kwenye maisha halisi huwa hawampati mwanaume mwenye vitu vyote wanavyotakaga!
 
Bora hata wangekuwa wanamtaka kweli

Lakini ukiwa mpiga bao kibao jiandae kuumwa sana na meno!
 
Kufeki au kutofeki

Ni kwa faida ya nani?
 
Mimi sifake kitu

Naishi kwenye nyumba ambayo haina hata umeme na kitanda sina

Uko tayari?

Kwani hilo tatizo kwangu? Mbona dogo kabisa....
Niko tayari ...kuna lingine hujasema?
 
Kumbe ndivyo walivyo eeehh..!!

Bora me niko zangu UK,,,kidogo huku mambo nitofauti ufake sio sanaaa!!!!!

wewe acha hizo juzi haukugombania gari la gombo la mboto pale buguruni
 
Back
Top Bottom