Hawa wanawake wako dunia ipi?

Hawa wanawake wako dunia ipi?

Ila kufake maisha sio mpango mnzuri na wote humu tuko high classic life hakuna wa daraja la chini

ndio ujiulize hapo. Kila mtu humu mshahara wake unaanzia milion.5 kwenda juu. Biashara yake alianza na mtaji wa m20. Mm najiuliza sasa hawa wanaoshi chini ya dora moja wako wapi
 
Well Said Baba Paroko. Akili za hawa wa mitandaoni usipo changanya na za kwako, utaweza mtafuta Mzizi mkavu akusaidie kutafuta dawa za kuongeza ukubwa wa dushe halafu wa mtaani wakawa wanatoka nduki kila kumchao.
 
Last edited by a moderator:
Well Said Baba Paroko. Akili za hawa wa mitandaoni usipo changanya na za kwako, utaweza mtafuta Mzizi mkavu akusaidie kutafuta dawa za kuongeza ukubwa wa dushe halafu wa mtaani wakawa wanatoka nduki kila kumchao.

Hii ni kweli kabisa mkuu

Maana huku watakuambia wanataka inchi saba
Mtaani inchi nne tu!
 
Kumbe hata kuogelea hujui na hujawahi hata kugelea mtoni!

Ha ha ha malaika penyewe naendaga siku za kazi ndo naingia free
napiga vipicha atleast nipate cha kusema fesibuku
nikiulizwa nihudumiwe nasema subiri kidogo tena kwa kizungu ilimradi mbwembwe
(nihudumiwe ili nikose nauli? Akaaa mfuko ni nna 400 ya daladala nihudumiwe nini)
 
Tena hiyo 400 haikufikishi kwenu Buswelu ...lol!
 
Back
Top Bottom