Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,919
- Thread starter
- #121
charminglady anaishi capripoint...
Hahahahaaa
Ndo kakudanganya hivyo?
Niulize mimi
Huyo anakaa Nyakato tena ya karibu na Nyanguruguru!
charminglady anaishi capripoint...
Well Said Baba Paroko. Akili za hawa wa mitandaoni usipo changanya na za kwako, utaweza mtafuta Mzizi mkavu akusaidie kutafuta dawa za kuongeza ukubwa wa dushe halafu wa mtaani wakawa wanatoka nduki kila kumchao.
Mi penda pesa six pack nawaachia arsenal...![]()
Penda sana hii makitu wewe?
Huku mitandaoni kila kitu fake ukiingia mkenge imekula kwako.
Mkuu kwema?
Hawa viumbe ni nomaaaaaaaaaa!!!!!!
Hata papuchi nazo fake sana!
Alikuwa jirani yangu pale kapripoint kabla mi sijahamishia business zangu daslam...Hahahahaaa
Ndo kakudanganya hivyo?
Niulize mimi
Huyo anakaa Nyakato tena ya karibu na Nyanguruguru!
Hii ni kweli kabisa mkuu
Maana huku watakuambia wanataka inchi saba
Mtaani inchi nne tu!
ndio ujiulize hapo. Kila mtu humu mshahara wake unaanzia milion.5 kwenda juu. Biashara yake alianza na mtaji wa m20. Mm najiuliza sasa hawa wanaoshi chini ya dora moja wako wapi
ha ha ha ha uwiiii chezea mtandao
Excel yupo BOT yeye pesa sio tatizo anamiliki show room kumbe yupo mbeya mbarali analima zake mpunga kumbe tunapishana kila siku
Nini kifanyike kutokomeza ungonjwa huu?
Alikuwa jirani yangu pale kapripoint kabla mi sijahamishia business zangu daslam...
nilikuwa nakaa kwenye lile gorofa jeupe lenye garden love si unalijua?
charminglady anaishi capripoint...