Hawa ndo wanawake wanaopaswa kudai haki sawa

Mna haki ya kulalamika pia!
Tulalamikie nini wakati vitu viko kama vilivyopangwa ila kwenye utekelezaji ndo wanawafavour ninyi ili tuwe sawa kwenye competition.
 
Si kila mwanaume anaoa akiwa na mali, wengi tu wanaoa wakiwa choka mbaya
Mimi nazungumzia wale wenye mali za kupindukia. Tunawaona kila siku dunia nzima.

Katika kujihami na hili siku hizi mwanaume akiwa na mali na anataka kuoa huwa wanasainiana mikataba (prenuptial). Yani inatoa raha yote ya harusi.

Eti,
☆ Baby, will you marry me?

☆ Ndio nimekubali.

☆ Haya basi naomba usaini hapa kuwa kesho na keshokutwa tukiachana utaondoka na ulichokuja nacho.

Mnaona wanawake mnavyotupelekea tufanye. Halafu mnalalamika kuwa, "Waaala sio romantic, mgumu kama jiwe"

Vivyo hivyo, kabla ya kuoana na baada ya ku-date kwa muda, siku moja tu mwambie bibie kuwa leo lipia nusu ya hii gharama ya outing uone kitakachokupata. Atatangaza mji mzima kuwa:
[emoji830]Una kibamia,
[emoji830]Gari lako kuukuu haliwaki mara moja,
[emoji830]Chupi zako zote zina skid-marks,
[emoji830]Mshahara wako mdogo,
[emoji830]Karibu ufukuzwe kazi.
Basi ilmradi tu ajenge mazingira ya kukuacha guilt-free.

Mnataka usawa eh?
 
Wenye mali hata hawana mawazo kama hayo. Wenye kuwaza hivyo ni wale wenye kajumba ka kawaida na ka passo kake baby walker
 
Hamnaaa.
Google "Celebrity Prenuptials" uone.

Na hizo ni zile zilizotangazwa. Unafikiri mtu kama Diamond Platinumz ataoa bila mshauri wake kudai wasaini prenuptial agreement? That will be crazy.
 
Haya, kazi kwenu na mikataba ya aina hiyo. Uzuri ni kwamba baadhi ya wanawake wamejitambua hawategemei mali za mume, wana kazi zao, mishahara yao, mali zao na savings za kutosha. Incase of anything hawatetereki.
 
Haki ninazozifahamu mimi ambazo wanawake tunazidai chache ni hizi
1. Usawa kwenye elimu
2. Usawa kwenye ajira (hii iangalie uwezo na si upendeleo)
3. Usawa kwenye madaraka (hii pia inahitaji uwezo)
4. Haki kwenye mirathi
5. Haki kwenye kumiliki mali
.
.
Na nyingine nyingi za msingi.
Tatizo hiyo 50/50 mnaitafsiri vibaya.
Sisi wanawake tunatambua majukumu yetu na uwezo wetu, kuna mambo hatuwezi kulingana kutokana na jinsi mungu alivyotuumba.
Naam umeeleza vzr sana. Ila wanawake kwa wanaume wanatakiwa kuelewa kuwa duniani hakuna usawa maana hata Mungu aloyetuumba hakuweka usawa ndio maana kuna muumba na aliyeumbwa. Pia hata walioumbwa bado wametofautishwa kuna mimea, wadudu, wanyama, binadamu na malaika n.k sasa leo hii haiwezekani binadamu akadai usawa wa kufanana na malaika ama kupewa haki anazostahili malaika. Kwenye kiingereza kuna maneno mawili ambayo nadhani kwenye kiswahili tunayachanganya, equality and equity. Wanawake wanatakiwa kudai equity siyo equality.
Kama mwanamke ama mwanaume yeyote ni mchamungu wa kweli atakuwa anaitambua equity na atakuwa tayari kutoa hiyo equity jinsi inavyostahili.
 
Umeua mkuu.
 
Back
Top Bottom