hivi mnavosemaga mnataka usawa mnamaanishaga nini?Huko ni kuingilia majukumu, kazi ya kula kwa jasho sio yake...
Umeshasema ni haki, kwanini umnyime binadamu mwenzako haki yake?Ila kwnye kudai haki zenu mnataka ziwe sawa sio,
Tatizo lenu ni moja, hamjui haki tunazozitaka. Niambie ni haki ipi ambayo mwanamke anaidai ambayo unaona si sahihi?Kwenye kitabu kipi cha dini kinachosema men and women are equal???
Ndo unatakiwa uielewe kwanza. Katafute hiyo 50/50 uisome hlf uje hapa tuelezane kwa hoja za msingi.Iyo 50/50 mnayoidai ni ipi mkuu???
Haki ninazozifahamu mimi ambazo wanawake tunazidai chache ni hiziBut unaweza tu kuziweka hapa zen kila mmoja akazipitia hapahapa kwenye uzi na kucomment, instead of going to read it somewhere.
Naomba tuzichambue moja baada ya nyingine kati ya hizo chache ulizoorodhesha,sawa..Haki ninazozifahamu mimi ambazo wanawake tunazidai chache ni hizi
1. Usawa kwenye elimu
2. Usawa kwenye ajira (hii iangalie uwezo na si upendeleo)
3. Usawa kwenye madaraka (hii pia inahitaji uwezo)
4. Haki kwenye mirathi
5. Haki kwenye kumiliki mali
.
.
Na nyingine nyingi za msingi.
Tatizo hiyo 50/50 mnaitafsiri vibaya.
Sisi wanawake tunatambua majukumu yetu na uwezo wetu, kuna mambo hatuwezi kulingana kutokana na jinsi mungu alivyotuumba.
1. Haki kwenye elimuNaomba tuzichambue moja baada ya nyingine kati ya hizo chache ulizoorodhesha,sawa..