nice one..Huko ni kuingilia majukumu, kazi ya kula kwa jasho sio yake...
Kuzaa tuu kwa uchungu pekee ni jukumu zito hakuna mwanaume atakaa alifanye.Wanawake bhana yaani Wengi hudai Haki sawa kwenye mambo ya Fedha tu, ishu zinazohusu Majukumu mazito mazito wanaachia Wanaume.
Are you atheist or theist?Vitabu vya dini mostly vimeandikwa na wanaume, na mfumo dume upo enzi na enzi haujaanza miaka hii.
Ni katika kumdidimiza mwanamke, hakuna zaidi.
Wacha wee kumbe unauza hilo andazi lakoMweh..bora nikauze maandazi kuliko kuumiza mwili wangu. Sijaumbwa hivyooo
Waambie na wenzio maana wana kielele kweli cha haki sawa,,Mweh..bora nikauze maandazi kuliko kuumiza mwili wangu. Sijaumbwa hivyooo
Wafanye tu hayo makazi ya kuumiza mwili. Mi simooWaambie na wenzio maana wana kielele kweli cha haki sawa,,
TheistAre you atheist or theist?
Bonge la commentUnafkiri ingeshindikana kwa wanaume kwenda labor kama ingekua ni wajibu wao?
Then you should be disbeliever for this comment.Theist
Vitabu vya dini mostly vimeandikwa na wanaume, na mfumo dume upo enzi na enzi haujaanza miaka hii.
Ni katika kumdidimiza mwanamke, hakuna zaidi.
Kama mali yako umeipata kihalali nani ukuzuie mkuu au sijaelewa hiliTuna haki ya kumiliki mali yoyote ile ambayo tumeipata kihalali, iwe ni kwa kununua au urithi.
So hadi kwenye ndoa mpewe madaraka sawa na mwanaume?Madaraka sehemu yoyote, makazini, kwenye siasa, katika jamii kwa ujumla. Na isiwe upendeleo anayestahili apewe
Heshima sana kwakeGUD ,, MIMI MWANAMKE ANAYEKULA KWA JASHO LAKE HATA KM NIMUUZA ANDAZI HUWA NAMUHESHIMU SANAAA !!.
Lkn hawa wakutegemea wanaume ndo waishi [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Fafanua vizuriTunataka haki sawa, sio wajibu sawa. Kula kwa jasho sio wajibu wetu, ni wenu.