Hawa ndo wanawake wanaopaswa kudai haki sawa

Ila kwnye kudai haki zenu mnataka ziwe sawa sio,
Tatizo mmekalia jambo moja tuu. Hivi umejuluza kwamba kama anaweza kubeba huo mzigo, mimba atabebewa? Na je anaweza kubeba mimba na kuzaa?
Ugumu wa kazi huaribu sana mfumo wa uzazi, na hakuna atakaye muona yuko sawa ukiwa anashindwa kubeba mimba ama kulea mimba
 
Ishu sio kubebewa mimba, kama hata wanaume mfumo wa kubeba mimba ungewaruhusu nadhani wangebeba,
 
huu msemo wa haki sawa ita fatana una utumia wapi .....hakuna haki sawa hapa duniani ...una enda hospitali mzee ana pewa kipao mbelee kuna usawa au ni hekima hutumika na sio usawa
 
Siwezi kudiscuss dini za watu hapa, watanitoa macho wenye imani zao.
Basi huo ni mtazamo wako,
Me najua hakuna dini inayomkandamiza mwanamke.
Ispokua kila dini ina sheria zake ambazo ni lazima zifuatwe ili wapate kile wanachokitaka.
 
huu msemo wa haki sawa ita fatana una utumia wapi .....hakuna haki sawa hapa duniani ...una enda hospitali mzee ana pewa kipao mbelee kuna usawa au ni hekima hutumika na sio usawa
Hakika mkuu,
 
Basi huo ni mtazamo wako,
Me najua hakuna dini inayomkandamiza mwanamke.
Ispokua kila dini ina sheria zake ambazo ni lazima zifuatwe ili wapate kile wanachokitaka.
Yes hapo kwenye mtazamo ndo tunapotofautiana wengi.
 
Haki haiwezi kuwezekana duniani hata siku, zitakazowezekana ni haki muhimu mwa kila jinsia. Haki za wanaume na haki za wanawake, si kuwa na haki sawa. Abadan
 
GUD ,, MIMI MWANAMKE ANAYEKULA KWA JASHO LAKE HATA KM NIMUUZA ANDAZI HUWA NAMUHESHIMU SANAAA !!.

Lkn hawa wakutegemea wanaume ndo waishi [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Tatizo utandawazi unatuharibu sana. Tusipoendekeza utandawazi, na Kila mmoja akaplay part yake mbona maisha fresh tu.
Kuna vitu vya kupigania viwe sawa na vingine vinapaswa viachwe kama vilivyo, Mwenyezi Mungu ana makusudi yake.
 
GUD ,, MIMI MWANAMKE ANAYEKULA KWA JASHO LAKE HATA KM NIMUUZA ANDAZI HUWA NAMUHESHIMU SANAAA !!.

Lkn hawa wakutegemea wanaume ndo waishi [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeona eeehh mkuu,
 
1. Haki kwenye elimu
- mtoto wa kike apewe haki ya kupata elimu kama ambavyo wa kiume anapewa. Sio wa kiume asomeshwe hlf wa kike abaki nyumbani.
* hapo tuko sawa?
Sasa mbona haki hii nyinyi mmependelewa na sisi hatulalamiki
 
Back
Top Bottom