Hawa ndo wanawake wanaopaswa kudai haki sawa

Hawa ndo wanawake wanaopaswa kudai haki sawa

Neno haki sawa ni la kisiasa. Kwingine kote hakuwezekani kuwa na usawa kati ya mwanamke na mwanaume. Mi mwenyewe mambo ya usawa yanikome. Kudai dai usawa tutaanza kuambiwa tulipe na mahari
 
Binafsi sina mawazo hayo
Bas kwa hilo nimekuelewa sana kwa ulivyoelezea haki mnazohitaji sio wale wanaotaka haki sawa afu hawajui ni haki gani wanayoitaka tena bila kutimiza wajibu
Vipi umeolewa ?ngoja nikufuate pm tuyajenge mama
 
Bas kwa hilo nimekuelewa sana kwa ulivyoelezea haki mnazohitaji sio wale wanaotaka haki sawa afu hawajui ni haki gani wanayoitaka tena bila kutimiza wajibu
Vipi umeolewa ?ngoja nikufuate pm tuyajenge mama
Nimeolewa kitambo ila mume wa pili anaruhusiwa, karibu!
** Vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Huwaga sijawahi kufikiria kudai usawa kati yangu na mwanaume, maana huwa naamini nimpango wakikafiri kutupotosha na twende against na mipambo ya Mungu
 
Neno haki sawa ni la kisiasa. Kwingine kote hakuwezekani kuwa na usawa kati ya mwanamke na mwanaume. Mi mwenyewe mambo ya usawa yanikome. Kudai dai usawa tutaanza kuambiwa tulipe na mahari
Wenzako hawajui hata haki sawa wanayoililia ni nini.

Hawajielewi hata kidogo, eti wanachagua ni wapi pa kuweka haki sawa na ni wapi pa kuacha nature ya iongee!

Hawajui kwamba ukishachanganya tu nature kwenye jambo lolote lile kati ya mume na mke tayari unakuwa umeshatoka kwenye mantiki nzima ya haki sawa... Na ukishaleta habari za haki sawa hata nature haina tena nafasi kwenye maaumuzi yenu.

Wanawake wa kiafrika haki sawa mnalazimisha tu tena kwa kuiga bila kujua na hamtafanikiwa NG'000000.

feminists maarufu wengi ni atheists na hawataki kabisa kuskia habari za dini kwa sababu wanaamini dini ndio chanzo cha kukandamizwa kwa mwanamke. Sasa nyie vituko wa afrika unakuta mmekomaa kutoa references za kwenye vitabu vya dini eti adamu alifanya hivi, Adam alifanya vile.... na hapo hapo tena mnataka muwe na nguvu sawa na mwanaume kwenye baadhi ya mambo!

Kuna mwenzenu niliwahi kumsoma humu eti anafuliwa nguo na Mme wake na hapo hapo amatolewa mahari I was quite mystified.

Nafikiri wanawake wa kiafrika mnaodai haki sawa mngetoa kwanza ujinga na kuelewa mantiki nzima ya haki sawa kabla hamjaanza hizo harakati zenu.
 
Wanawake bhana yaani Wengi hudai Haki sawa kwenye mambo ya Fedha tu, ishu zinazohusu Majukumu mazito mazito wanaachia Wanaume.
Biblically wako sawa. Jukumu la kutafuta mkate ni la mume
 
Kudai dai usawa tutaanza kuambiwa tulipe na mahari

Na pia feminists wa kweli hata suala la mahari wanalipinga kwa sababu linaondoa thamani ya kibidamu kwa mwanamke kwa kumfananisha na bidhaa.

Sasa unakuta kibinti cha kiafrika kinataka kiolewe mahari si chini ya 7m na hapo hapo kinapayuka habari za haki sawa wakati kimeshakubali kuthaminishwa sawa na tani moja ya mahindi.

May God save our african female folks!
 
Huyo anatumia nguvu anaendana na wanaume wanaotumia nguvu

Vipi mwanamke anaetumia akili?
Hastahili kudemand haki zake?
 
Namba 1, usawa kwenye elimu nakuunga mkono ila tu kusiwe na scale tofauti za kuchukua wanafunzi kwenye kozi au kada flani, mfano kuna ile issue ya boys and girls are treated differently on their perfomance. E.g msichana akipata grade flani anakua favoured than boy who attain the same grade, but due to their sex, ladies are favoured towards men. So in order to have 50/50, all are supposed to be treated the same regardless of what.
Mtoto wa kike akitoka shule anaanza majukumu ya nyumbani kufua kuosha vyombo kideki na hivyo kumkosesha muda wa kurudia aliyofundishwa shuleni...wa kiume akitoka anaenda kucheza defenetly lazima wakike aangaliwe kwa jicho la tatu.

Alamu hatuwezi kuwa Sawa na wanaume...tumewazidi mno...kwa kila kitu kuanzia kufikiri na kufanya mambo kwa hekima na tahadhari zaidi.

Kasome biblia yako wanaume wote including that father of faith alidondoshwa na mwanamke...

Mungu alivyosema ishini nao kwa akili ..hii sentensi ina fumbo kubwa sana...huwezi kuambiwa utumie akili kwa MTU unayelingana nae akili lazima amekuzidi akili ndio maana unaambiwa tumia akili kuishi nae.

Mengine kesho ila kaa na hizi Quotes
If you give a women a house she will give you a home..
If you give her sperm she will give you a baby
If you give her shit be sure you gonna get back triple shit
 
Back
Top Bottom