Mtoto wa kike akitoka shule anaanza majukumu ya nyumbani kufua kuosha vyombo kideki na hivyo kumkosesha muda wa kurudia aliyofundishwa shuleni...wa kiume akitoka anaenda kucheza defenetly lazima wakike aangaliwe kwa jicho la tatu.
Alamu hatuwezi kuwa Sawa na wanaume...tumewazidi mno...kwa kila kitu kuanzia kufikiri na kufanya mambo kwa hekima na tahadhari zaidi.
Kasome biblia yako wanaume wote including that father of faith alidondoshwa na mwanamke...
Mungu alivyosema ishini nao kwa akili ..hii sentensi ina fumbo kubwa sana...huwezi kuambiwa utumie akili kwa MTU unayelingana nae akili lazima amekuzidi akili ndio maana unaambiwa tumia akili kuishi nae.
Mengine kesho ila kaa na hizi Quotes
If you give a women a house she will give you a home..
If you give her sperm she will give you a baby
If you give her shit be sure you gonna get back triple shit
Utatumia misemo mingi lakini ukumbuke Misemo huwa inazingatia mtazamo wa msemaji. Wakati wewe unasema haraka haraka haina baraka wenzako wanasema pole pole ndio mwendo. Halafu jiulize kwann mnasema wanawake tukiwezeshwa tunaweza, je mnawezeshwa na nani? Muwezeshwaji na Muwezeshwaji wako sawa? Kumbuka wanawake mnadai haki toka kwa wanaume. Hv mtoa haki na mdai haki wako sawa?
Pia mnasema unasema wanawake mnaakili kuliko wanaume, hv ni vumbuzi ngapi ambazo wanawake wamefanya kuthibitisha hilo ama ni mambo gani waliyoyafanya kuthibitisha huo uwezo mkubwa kuliko wanaume.
Pia naomba kuuliza kwann kwenye vitabu vya dini mwanaume alipewa mamlaka juu ya mwanamke lakini mwanamke hakupewa hayo mamlaka? Kwann kwenye vitabu vya dini wanawake hawakuwa wakihesabiwa?
Mwisho kabisa naomba nitoe msimamo wangu. Kila kumbe kilichochini ya jua kina haki zake ambazo ila haki hizo haziko sawa kwa viumbe wote. Mwisho kabisa haki huwa inaambatana na wajibu, hakuna haki pasipo wajibu. Wengi tunalilia kudai haki bila kutimiza wajibu ambao unatoa hzo haki. Mfano mdogo tuna mwabudu Mungu kwa sababu akifanya wajibu wa kuumba na kuweka misingi ya maisha, hivyo kuabudiwa ni haki yake upande usipende. Mfanyakazi anadai haki ya kulipwa ujira baada ya kutimiza wajibu wake wa kufanya kazi, mwajiri anadai haki yake ya kufanyiwa kazi kwa kutimiza wajibu wake wa kuandaa mazingira mazuri ya kazi na kutoa ujira. Unapata haki ya kuvuna baada ya kutimiza wajibu wa kupanda na kuzingatia hali ya hewa ya kipindi husika
Je wanawake wanadai haki kwa kutimiza wajibu upi?
Mwisho tujifunze utofauti kati ya equity na equality. Equality itataka mwanaume na mwanamke wote wawe na wajibu wa kubeba mimba, lakini equity inatenganisha wajibu kati ya mtia mimba na mbeba mimba.
Equality itataka mpangiane zamu za kufua, kuosha Vyombo, kupika na kadhalika lakini equity inatenganisha kati ya mtafutaji na mwandaaji.
Binadamu kwakujifanya wajanja tumekiuka misingi ya asili
Ndio maana siku hz mwanaume anapata ujasiri wa kuondoka nyumbani bila kuacha chochote lakini akirudi anadai chakula.