Hawa ndo wanawake wanaopaswa kudai haki sawa

Namba 1, usawa kwenye elimu nakuunga mkono ila tu kusiwe na scale tofauti za kuchukua wanafunzi kwenye kozi au kada flani, mfano kuna ile issue ya boys and girls are treated differently on their perfomance. E.g msichana akipata grade flani anakua favoured than boy who attain the same grade, but due to their sex, ladies are favoured towards men. So in order to have 50/50, all are supposed to be treated the same regardless of what.
 
# 2.usawa kwenye ajira, unaweza kudadavua kivipi mnataka usawa hapa wakati in reality ladies are most favoured towards men on employment issues, au ni ajira gani unazozizungumzia apa?
 
Namba 1, usawa kwenye elimu nakuunga mkono ila tu kusiwe na scale tofauti za kuchukua wanafunzi kwenye kozi au kada flani, mfano kuna ile issue ya boys and girls are treated differently on their perfomance. E.g msichana akipata grade flani anakua favoured than boy who attain the same grade, but due to their sex, ladies are favoured towards men. So in order to have 50/50, all are supposed to be treated the same regardless of what.
Hilo naungana na wewe wanatakiwa kuliondoa.
Lakini naamini kuwa walifanya hivyo ili kumuinua mtoto wa kike, sasa tumeshainuka waiondoe hiyo category, hatupingi.
 
# 5, mmiliki mali katika scenario ipi? Na katika misingi gani??
 
Hilo naungana na wewe wanatakiwa kuliondoa.
Lakini naamini kuwa walifanya hivyo ili kumuinua mtoto wa kike, sasa tumeshainuka waiondoe hiyo category, hatupingi.
Kwahiyo sasahivi hamtaki Kuwezeshwa tena sio??
 
Madaraka sehemu yoyote, makazini, kwenye siasa, katika jamii kwa ujumla. Na isiwe upendeleo anayestahili apewe
Unadhani kwanini vitabu vya dini havijampa kipaumbele mwanamke kwenye swala zima la madaraka???
 
Tuna haki ya kumiliki mali yoyote ile ambayo tumeipata kihalali, iwe ni kwa kununua au urithi.
Kurithi sawa, hapo kwengine kuna doubt kidogo, unadhani mkipewa haki ya kumiliki mali ikiwa mpo ndoani mtaendelea kuwatii waume zenu??
 
Unadhani kwanini vitabu vya dini havijampa kipaumbele mwanamke kwenye swala zima la madaraka???
Vitabu vya dini mostly vimeandikwa na wanaume, na mfumo dume upo enzi na enzi haujaanza miaka hii.
Ni katika kumdidimiza mwanamke, hakuna zaidi.
 
Kwahiyo dini zinawakandamiza wanawake sio??
 
Back
Top Bottom