Hawa ndiyo Waandishi wa Habari wa Tanzania Manara akiwa Msemaji wa Simba SC na baada ya Manara 'Kutumbuliwa' hapo Simba SC

Inategemea wengine pesa wanazisimamia tu wala siyo zao ndiyo maana wanalazimisha umaalufu huku wakilazimisha watu waone wanachokifanya lkn ukweli kwamba ni walaghai wakutupwa

Mo kakufanya nini wewe ndo unapata tabu sana
 
Kama zile takataka pale Wasafi kweye ile sports Arena yaani wako kimalaya malaya zaidi wakiongozwa na Kitenge,Job, Yusuf Mkule yaani ni Utopolo mwanzo mwisho
 
Tofautisha waandishi wa habari na maripota, mwandishi wa habari kabla ya kuandika atahoji katika mikutano ya MO na Manara umemsikia mtu akiuliza swali na kujibiwa na hata wangepewa nafasi wangeuliza maswali ya ovyoovyo ni kama kile kipindi cha ITV cha dakika 45 bure kabisa.
 
Miaka
Kuna hoja kwa manara?
Mtu anayelilia kutajwa kwenye nyimbo, kwa manufaa gani hasa?
Kutofanyiwa booking? Asa team inasafiri msemaji wa nini? Watu wanapunguza matumizi yasiyo ya lazima asee.
6 bila mkataba?
La kudukuliwa?
Mkataba wa Simba sc tv na Azam?
Mapato anayopata Mo?
Kuzuiwa kufanya deals na Azam Marine na Majuice?
 
Back
Top Bottom