Hawa ndio watu wanaochukiwa zaidi duniani

Hawa ndio watu wanaochukiwa zaidi duniani

Wamefanya kwamasilahi yao nawala sio kuwapenda hii nikwakua uzawa wao mpira hawaujui, jaribu kuangalia sekta nyingine kama kuna mweusi yan huwez kumkuta mweusi ameshika uongoz ufaransa
Mtu mweusi hafai kupewa kazi za ndani/serikalini, ni bora wasipewe kabisa
 
Hoja yako generally inaweza kuwa kweli, ila tukija kwenye specific, sio kweli kwa Arabuni na Mashariki ya Kati, wanaochukiwa sio watu weusi wote, nimeishi kidogo maeneo hayo, dada zetu wanawake weusi wanapendwa sana!, haswa kufuatia ujuzi na ustadi kwa ile kazi kuu kuliko zote duniani kwa wanawake!, nimeshuhudia sasa zetu weusi wakipangishiwa mahoteli ya 5 stars hoteli nzima wamepanga wao kwa kazi ya kutoa hizo huduma kwa Waraabu huku wanawake wa Kichina na Kirusi ndio wanaotembeza hiyo bidhaa mitaani na bado zinawadodea!.

Hivyo sii kweli watu weusi wanachukiwa kihivyo!, nenda Scandinavia, Nordic na Holland ushuhudie jinsi ngozi nyeusi inavyogombewa kama mpira wa kona!. Nenda hapo kwa jirani zetu Kenya kwenye mbuga ya Masai Mara ushuhudie love tourists wanavyomiminika kutoka ulaya kujitwalia morani kama wapenzi wao na kuishia nao ulaya!.
P.
Umekaa Nchi gani tuanzie hapo?
 
Kuhusu black people sio kweli

Black people wanapendwa sana na wadada wa kidhungu maana wanajua kugonga ngozi mpaka mdhungu anakuwa wa rangi ya udhurungi
Porn stars.

Mzungu halisi hutakaa umguse achilia mbali kumgusa mkono.
 
Timu ya ufaransa kuna mabeki watatu wote wanamlinda golikipa mzungu, kuna viungo wanne wote wanawapa pasi wafungaji wawili wazungu, huu utumwa unadhani utaisha?
Waafrika tuna matatizo sana, ni bora ningezaliwa mweupe...hii ngozi cjui ni nani aliyetuloga. Kila cku tunalamika eti tunaonewa mara tunanyanyaswa/tunabaguliwa...
 
yaani wewe unaona kufanya hayo ndo kupendwa au kufanywa mtumwa,,,pole sana aisee,,walewalee,,
Binafsi namuona pasco yupo sahihi, tatizo letu weusi tumeshajiwekea ni watu wa kubaguliwa na kuchukiwa while hicho kitu kwa mweupe hakipo kabisa
 
mwafrika akimuona muhindi anamuita wewe muhindi akimuona mwarabu atamuita wewe mwarabu lakini ngoja muhindi amuite mwafrika wewe mwafrika . ugomvi why
 
Hakuna madhulumati duniani kama waislamu, Mfano mzuri ni haapa Tz, ndio kesi zao zimejaa mahakamani kwa dhuluma, ukwepaji kodi, kusafirisha mihadarati, pembe za ndovu n.k
Acha chuki dhidi ya waislamu..na usithubutu kulinganisha uislamu na dini za hovyo hovyo
 
Back
Top Bottom