Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,772
- 25,419
Yan mayalla hoja zako ndo zilkua za kiboya hivi.
Yaani Mayalla bwana na kiswahili chake cha kilaghai...huwa anaongea very smooth ukadhani anaongea cha maana kumbe ni utapeli mtupu...
Sijawahi muamini Paskali kabisa!
Ukicheck alichokiandika,ni pure fiction,ni as if yeye ni expert na ana first hand experience kwenye hayo maeneo..Unawezashangaa hajawahi hata kanyaga baadhi ya hayo maeneo.
Paskali bwana....Ni mtu anaejua kutunga fictions sana na flow ya lugha yake ndio watu wanapotea kabisa....such a cornman!