Inshu si kukomea kusema tu waislam wanachukiwa just think subjective kidogo jiulize kwanini wanachukiwa
kwani wao wanaishije na jamii nyingine isiyo ya kiislam? mahusiano yao yakoje? mimi ni muislam ila nataka niseme ukweli wangu usiokuwa upande wowote maoni yangu ya kwanini tunachukiwa
1.#Uislamu unahusishwa na ugaidi,matukio mengi ya kigaidi yanafanywa na waislam na waarabu.
2.# Waislam wengi wanaongoza kwa kubagua watu wasio waislam kuna majina ambayo siyo mazuri huwaita mfano KAFIRI,hata kwny kuchinja kitoweo km haijachinjwa na muislam mwenzake hawezi kula na hata kufanya vurugu kuna tukio la mauaji Geita lilitokea jamaa mkristo kachinja kuku ya mgahawani akawalisha waislamu walivyogundua aliyechinja si mwislam wakamuua
3# kulazimisha watu wasio waislamu wafate sheria za kiislamu mfano tukio lililotokea zanzibar 2012 km sikosei mtalii wa kizungu aliyemwagiwa tindikali usoni kisa alikuwa kichwa wazi kipindi cha mfungo,najua wengi mtasema ni kuutetea uislam ,km ndivyo mi naona uislamu ungetetewa kwa kuueneza uislamu na watu waukubali na waslim na kuwa waislam na si kuwa tayari kuua kwa kisingzio cha kutetea dini wakati mwny dini ni Mungu na ananguvu na uwezo mkubwa huwezi kusema unamsaidia kutetea dini yake na hapohapo mungu hafurahii vurugu na mauaji yanayofanywa eti kisa kutetea dini
NI MAONI YANGU TU,TUJITAFAKARI NDUGU ZANGU WAISLAMU
ili tuishi kwa upendo na umoja bila kubagua ama kubaguliwa ni hayo tu
WEWE SIO MUISLAM UMETOWA HOJA AMBAZO HUJUI SHERIA YA KIISLAAM. KUITWA KAFIRI SIO TUSI KAMA VILE WEWE KUITWA MWAFRICA. KAFIRI NI YULE SIO MUISLAM . MUNGU AKUTUAMRISHA WAISLAM TULE MNYAMA ALIYECHINJWA KWA JINA LA ALLAH NA ANAYECHINJA AWE MUISLAM SASA WEWE UNA LAZIMISHA MUISLAM ALE NYAMA ILIYOCHONJWA NA PAULO. dini yako wewe bado hujaijua unaingilia dini ya wengine