Kuna ka ukweli fulani. Kuhusu waarabu na waislam ni vigumu sana kutenga uislam na uarabu. Kwanza, dhana ya ugaidi sana sana inawahusu Waarabu generally ushaidi upo wa wazi. Pili, kila ugaidi unapotajwa wahusika hujitambulisha kuwa ni wafuasi wa kiislam. Hoja ya kusema ni propaganda inahitaji kujadiliwa kuona kama ni kweli.