Hawa ndio watu wanaochukiwa zaidi duniani

Hawa ndio watu wanaochukiwa zaidi duniani

Na waislam wanapinga kwa sababu ndio mfumo na njia sahihi kufika mbinguni ,na hukataza maovu yoote yanayofanywa na watu duniani.na wamagharib ni lazima wafanye propaganda mbovu dhidi ya islamu ili waendeleze maovu yao
Yesu Kristo ndio njia kweli na uzima.
 
To be even more specific magufail anachukiwa sana na Thornton!
It's the other way round. Thornton anampenda sana Magufuli, kwa sababu ni rahisi kudanganyika, Ile kuahidi tuu kishika uchumba, hata kabla hakijatoka mtu keshakabidhiwa mwali wake
P
 
Kihistoria

Mwafrika na mzungu ndo races mbili ambazo ziliibuka duniani,yaani hapa duniani kuna watu wa aina mbili,black and white

Upinzani wa kijadi ulioibuka ni kuwa kati ya watu weupe na weusi nani wa kwanza kuja duniani na ni nani alileta civilization hapa duniani

Baada ya tafiti nyingi kuonyesha kuwa binadamu wa kwanza alianzia Afrika ndo kundi la wazungu wakaibuka na kuanza kupinga kuwa binadamu wa kwanza hawezi akaanzia Afrika wala civilization haiwezi ikaanzia Afrika ndo mjadala huu ukapelekea kuwa na ubaguzi wa kujiona kuwa kati ya sisi na wao nani bora

Kwa hiyo black and white ni upinzani wa jadi kama Simba na Yanga kila upande ukitetea upande wake but kwa bahati mbaya whites wakawahi kudominate waafrika tukaonekana kuzidiwa kete na watu weupe
 
It's the other way round. Thornton anampenda sana Magufuli, kwa sababu ni rahisi kudanganyika, Ile kuahidi tuu kishika uchumba, hata kabla hakijatoka mtu keshakabidhiwa mwali wake
P
Mkuu fanya basi ile kitu umeisomea na kuifuzu na unayoipenda saaaana (investigative journalism) peleleza kiuandishi kubaini kama yale makontena ya makinikia bado yapo pale bandarini? Uende na kamera uyafotoe.
 
Back
Top Bottom