jose tajiri
JF-Expert Member
- Dec 22, 2015
- 778
- 181
Hujakosea
Udini unakusumbuaBujibuji, habari za siku?
Hujasema kwa nini Waafrika wanabaguliwa na kuchukiwa duniani.
Kwa Wayahudi jumla ni kwamba wanaonewa "WIVU", kwa mafanikio yao.
Waislam, ni kwa sababu ya "TABIA ZA KULAZIMISHA WATU WAFANYE UJINGA WANAOUTAKA WAO NA KUKOSA KWAO UTU NA KUTOKUJUA THAMANI YA UBINADAMU",kwa lugha nyingine "UJINGA NA UKATILI WA KIJINGA".
Rudi kwa Waafrika weusi, utoe maelezo kwa nini wanachukiwa.
Chanzo cha habari ni yeye mwenyewe!
Nami nilikua namaanisha, kwa mfano, ukiona gari limedondoka ukaandika hapa wapo watakaosema "chanzo" cha habari? Kimbuka hapa chanzo ni wewe (umeona).
Lakini ukiipeleka habari hiyo ITV, wao wakaitoa hewani....hakuna atakayeuliza chanzo (lakini kumbuka ni wewe ndiye uliipeleka huko ITV).
Sijui kama umenielewa!
Kwanza kabla ya yote ningependa kujua kuwa hii ni habari ni ya kutoka vyanzo vya uhakika au ni maoni yako.....!!!!???
Hakuna madhulumati duniani kama waislamu, Mfano mzuri ni haapa Tz, ndio kesi zao zimejaa mahakamani kwa dhuluma, ukwepaji kodi, kusafirisha mihadarati, pembe za ndovu n.kJiheshimu plz.. Uislamu daima ni mwongozo unaosimamia haki hakuna kudhulumiwa wala usidhulumu sasa usichanganye propaganda za mataifa ya magharibi na ugaidi ukalinganisha na tabia ya kiislaam
umemuweka nani mkuu unaemuamini kwenye hicho chanzo chako cha uhakika hadi umuulize chanzo beleave or not mtoa mada yupo sahih kabisa na hilo halifichiki we endelea kusubiri chanzo cha uhakikaKwanza kabla ya yote ningependa kujua kuwa hii ni habari ni ya kutoka vyanzo vya uhakika au ni maoni yako.....!!!!???
We mzee, wajaluo hawavukagi bahariwale wajaluo sio wamatumbi
Comment yako ni dhahiri inashutumu moja kwa moja Waislamu wote tofauti na dhamira ya muandishi. Ulichokiandika wewe kuhusu uislamu ni mtazamo wako ambao ni wa chuki. Si kila muislamu anashurtisha ama kuamini hayo uliyoyaandika na ikitokea ya kuwa unaishi na waislamu nchi moja lakini bado una mtazamo ulionao basi wewe mwenyewe ni mdini na una madhara makubwa Zaidi kwa jamii yako kushinda hata hao unaowashutumu.Bujibuji,
Waislam, ni kwa sababu ya "TABIA ZA KULAZIMISHA WATU WAFANYE UJINGA WANAOUTAKA WAO NA KUKOSA KWAO UTU NA KUTOKUJUA THAMANI YA UBINADAMU",kwa lugha nyingine "UJINGA NA UKATILI WA KIJINGA".
.
ufaransa sio wana timu ya taifa ya waafrika tupuwanatumiwa tu... nchi ya Ufaransa ni miongoni mwa nchi zenye ubaguzi mkongwe
Ukivuta shisha usisahau kunywa maziwa.. Kwavile upumbavu wa kuzaliwanao hauna tiba.Hakuna madhulumati duniani kama waislamu, Mfano mzuri ni haapa Tz, ndio kesi zao zimejaa mahakamani kwa dhuluma, ukwepaji kodi, kusafirisha mihadarati, pembe za ndovu n.k
Duu!! hivi huwezi ukamgegeda mtu unayemchukia?Hoja yako generally inaweza kuwa kweli, ila tukija kwenye specific, sio kweli kwa Arabuni na Mashariki ya Kati, wanaochukiwa sio watu weusi wote, nimeishi kidogo maeneo hayo, dada zetu wanawake weusi wanapendwa sana!, haswa kufuatia ujuzi na ustadi kwa ile kazi kuu kuliko zote duniani kwa wanawake!, nimeshuhudia sasa zetu weusi wakipangishiwa mahoteli ya 5 stars hoteli nzima wamepanga wao kwa kazi ya kutoa hizo huduma kwa Waraabu huku wanawake wa Kichina na Kirusi ndio wanaotembeza hiyo bidhaa mitaani na bado zinawadodea!.
Hivyo sii kweli watu weusi wanachukiwa kihivyo!, nenda Scandinavia, Nordic na Holland ushuhudie jinsi ngozi nyeusi inavyogombewa kama mpira wa kona!. Nenda hapo kwa jirani zetu Kenya kwenye mbuga ya Masai Mara ushuhudie love tourists wanavyomiminika kutoka ulaya kujitwalia morani kama wapenzi wao na kuishia nao ulaya!.
P.
Wewe una chuki na uislamu na wivu umekujaa ndio maana badala ya kuchangia uzi umeamua kuhara uharo humu usiokua na maana! Inaonekana uislamu unakutesa sana ndani ya nafsi yako.Bujibuji, habari za siku?
Hujasema kwa nini Waafrika wanabaguliwa na kuchukiwa duniani.
Kwa Wayahudi jumla ni kwamba wanaonewa "WIVU", kwa mafanikio yao.
Waislam, ni kwa sababu ya "TABIA ZA KULAZIMISHA WATU WAFANYE UJINGA WANAOUTAKA WAO NA KUKOSA KWAO UTU NA KUTOKUJUA THAMANI YA UBINADAMU",kwa lugha nyingine "UJINGA NA UKATILI WA KIJINGA".
Rudi kwa Waafrika weusi, utoe maelezo kwa nini wanachukiwa.
Huo ndo ukweli hakuna haja ya kubisha mataifa ya magharibi wanawachukulia waafrika kama watu wasiokuwa na thamani na waliokuja duniani kwa bahati mbayadah inasikikisha mtu huyu huyu mweusi bado anapinga kuwa hachukuwi ,Jamani ukweli utabaki kuwa ukweli tu MTU MWEUSI ANACHUKIWA DUNIANI KOTE na hii inatokana na sababu za kihistoria,kiuchumi,kijamii pia tunachukuliwa kama watu wasiokuwa na akili
Unaweza kuweka takwimu au una comment tu kwa kusukumwa na chuki?Hakuna madhulumati duniani kama waislamu, Mfano mzuri ni haapa Tz, ndio kesi zao zimejaa mahakamani kwa dhuluma, ukwepaji kodi, kusafirisha mihadarati, pembe za ndovu n.k
Hahahaaa,sijui siku ikifika ukikuta hali tofauti utajionaje! Hiyo ni imani ambayo by time watu wakuaminisha of which sio lazima iwe sawa!likewise dini nyingine!Kasome historia kabla ya kuja watwana asili za kiafrika walikua wanaabudu nini?na walikua wana amani sana! Km izi dini ndio njia sahihi jiulieze km una akili kwa nini wanauwana daily?kwa nn maovu ndio yamezidi kuliko zamani?ambapo dini zilikua haizifahamika km sasa? Think big alafu kua mpoleNa waislam wanapinga kwa sababu ndio mfumo na njia sahihi kufika mbinguni ,na hukataza maovu yoote yanayofanywa na watu duniani.na wamagharib ni lazima wafanye propaganda mbovu dhidi ya islamu ili waendeleze maovu yao