Hawa ndio watu wanaochukiwa zaidi duniani

Hoja yako generally inaweza kuwa kweli, ila tukija kwenye specific, sio kweli kwa Arabuni na Mashariki ya Kati, wanaochukiwa sio watu weusi wote, nimeishi kidogo maeneo hayo, dada zetu wanawake weusi wanapendwa sana!, haswa kufuatia ujuzi na ustadi kwa ile kazi kuu kuliko zote duniani kwa wanawake!, nimeshuhudia sasa zetu weusi wakipangishiwa mahoteli ya 5 stars hoteli nzima wamepanga wao kwa kazi ya kutoa hizo huduma kwa Waraabu huku wanawake wa Kichina na Kirusi ndio wanaotembeza hiyo bidhaa mitaani na bado zinawadodea!.

Hivyo sii kweli watu weusi wanachukiwa kihivyo!, nenda Scandinavia, Nordic na Holland ushuhudie jinsi ngozi nyeusi inavyogombewa kama mpira wa kona!. Nenda hapo kwa jirani zetu Kenya kwenye mbuga ya Masai Mara ushuhudie love tourists wanavyomiminika kutoka ulaya kujitwalia morani kama wapenzi wao na kuishia nao ulaya!.
P.
Kwa hiyo ina maana unakubaliana na mtoa hoja kwa sababu kwa umalaya wao huo wanasambaza magonjwa ya zinaa na kuchukua waume za watu na hivyo kupelekea kuchukiwa na watu wengi kwa kuharibu maadili ya kiislamu
 
Hoja yako generally inaweza kuwa kweli, ila tukija kwenye specific, sio kweli kwa Arabuni na Mashariki ya Kati, wanaochukiwa sio watu weusi wote, nimeishi kidogo maeneo hayo, dada zetu wanawake weusi wanapendwa sana!, haswa kufuatia ujuzi na ustadi kwa ile kazi kuu kuliko zote duniani kwa wanawake!, nimeshuhudia sasa zetu weusi wakipangishiwa mahoteli ya 5 stars hoteli nzima wamepanga wao kwa kazi ya kutoa hizo huduma kwa Waraabu huku wanawake wa Kichina na Kirusi ndio wanaotembeza hiyo bidhaa mitaani na bado zinawadodea!.

Hivyo sii kweli watu weusi wanachukiwa kihivyo!, nenda Scandinavia, Nordic na Holland ushuhudie jinsi ngozi nyeusi inavyogombewa kama mpira wa kona!. Nenda hapo kwa jirani zetu Kenya kwenye mbuga ya Masai Mara ushuhudie love tourists wanavyomiminika kutoka ulaya kujitwalia morani kama wapenzi wao na kuishia nao ulaya!.
P.

Mmmmmmh, yaani wewe mawazo yako ni 'huko' tu?????!!!!!! Siwezi kuamini ulichoandika...siwezi kuamini hata kidogo...
 
Hoja yako generally inaweza kuwa kweli, ila tukija kwenye specific, sio kweli kwa Arabuni na Mashariki ya Kati, wanaochukiwa sio watu weusi wote, nimeishi kidogo maeneo hayo, dada zetu wanawake weusi wanapendwa sana!, haswa kufuatia ujuzi na ustadi kwa ile kazi kuu kuliko zote duniani kwa wanawake!, nimeshuhudia sasa zetu weusi wakipangishiwa mahoteli ya 5 stars hoteli nzima wamepanga wao kwa kazi ya kutoa hizo huduma kwa Waraabu huku wanawake wa Kichina na Kirusi ndio wanaotembeza hiyo bidhaa mitaani na bado zinawadodea!.

Hivyo sii kweli watu weusi wanachukiwa kihivyo!, nenda Scandinavia, Nordic na Holland ushuhudie jinsi ngozi nyeusi inavyogombewa kama mpira wa kona!. Nenda hapo kwa jirani zetu Kenya kwenye mbuga ya Masai Mara ushuhudie love tourists wanavyomiminika kutoka ulaya kujitwalia morani kama wapenzi wao na kuishia nao ulaya!.
P.
Duh hao waarabu si wanasifika kwa tabia ya kutumia sehemu isiyo halali?? So hao dada zetu watakuwa wanatumika ndivyo sivyo!
 
Hoja yako generally inaweza kuwa kweli, ila tukija kwenye specific, sio kweli kwa Arabuni na Mashariki ya Kati, wanaochukiwa sio watu weusi wote, nimeishi kidogo maeneo hayo, dada zetu wanawake weusi wanapendwa sana!, haswa kufuatia ujuzi na ustadi kwa ile kazi kuu kuliko zote duniani kwa wanawake!, nimeshuhudia sasa zetu weusi wakipangishiwa mahoteli ya 5 stars hoteli nzima wamepanga wao kwa kazi ya kutoa hizo huduma kwa Waraabu huku wanawake wa Kichina na Kirusi ndio wanaotembeza hiyo bidhaa mitaani na bado zinawadodea!.

Hivyo sii kweli watu weusi wanachukiwa kihivyo!, nenda Scandinavia, Nordic na Holland ushuhudie jinsi ngozi nyeusi inavyogombewa kama mpira wa kona!. Nenda hapo kwa jirani zetu Kenya kwenye mbuga ya Masai Mara ushuhudie love tourists wanavyomiminika kutoka ulaya kujitwalia morani kama wapenzi wao na kuishia nao ulaya!.
P.
Pasco umejielekeza kwenye eneo dogo, nadhani mleta mada alifikiria eneo pana sana,

Hilo la Uarabuni la kupangiwa hotel ni kupendwa? au kudhalilishwa na kuchukuliwa kama commodity?
 
Timu ya ufaransa kuna mabeki watatu wote wanamlinda golikipa mzungu, kuna viungo wanne wote wanawapa pasi wafungaji wawili wazungu, huu utumwa unadhani utaisha?
 
Huu ni utafiti wa kweli kabisa sisi waafrika tunaongoza kwenye mambo mengi ya hovyo ndiyo maana wanatuita nyani, ila mimi naona tulistahili kuitwa nyumbu
Waafrika au watu weusi kiujumla? na mambo ya hovyo ni yapi?
 
Hivi Africa Kusini ipo bara lipi eti la Ulaya? maana juzi hawa jamaa walikuwa wakicharangana mapaga na waafrica wenzao
Hata waarabu na wazungu hupigana wao kwa wao,na waafrika kusini hawakuwapiga wenzao kwa kwa kuwa ni weusi.
 
Hivi kwanini watu weusi tulalamike tunabaguliwa kwa sababu ngozi zetu nyeusi?kwanini haitokei sie tukawabagua watu weupe kwa sababu ya ngozi zao nyeupe?
 
Hoja yako generally inaweza kuwa kweli, ila tukija kwenye specific, sio kweli kwa Arabuni na Mashariki ya Kati, wanaochukiwa sio watu weusi wote, nimeishi kidogo maeneo hayo, dada zetu wanawake weusi wanapendwa sana!, haswa kufuatia ujuzi na ustadi kwa ile kazi kuu kuliko zote duniani kwa wanawake!, nimeshuhudia sasa zetu weusi wakipangishiwa mahoteli ya 5 stars hoteli nzima wamepanga wao kwa kazi ya kutoa hizo huduma kwa Waraabu huku wanawake wa Kichina na Kirusi ndio wanaotembeza hiyo bidhaa mitaani na bado zinawadodea!.

Hivyo sii kweli watu weusi wanachukiwa kihivyo!, nenda Scandinavia, Nordic na Holland ushuhudie jinsi ngozi nyeusi inavyogombewa kama mpira wa kona!. Nenda hapo kwa jirani zetu Kenya kwenye mbuga ya Masai Mara ushuhudie love tourists wanavyomiminika kutoka ulaya kujitwalia morani kama wapenzi wao na kuishia nao ulaya!.
P.
yaani wewe unaona kufanya hayo ndo kupendwa au kufanywa mtumwa,,,pole sana aisee,,walewalee,,
 
Akili zako zimekutuma uje kutukana dini ya wenzako au ndo mnafundishwa hivyo kanisani!! mbona wakristo wenzako wana hekma sana tofauti na ww mchonganishi!! inaonyesha ww unafurahi sana ukusikia watz wanarumbana kwa sabab ya dini zao!! I hope mola hatakuadhibu kwa ufanyalo then ukijifanya kuchukia saana uislamu hope ktk familia yko pia watatokea tu waislamu just muangalie mjinga mwenzako George bush binti ake kasilimu na hana lakufanya!!
wakristo ni watu wa amani msimsapoti huyu mchonganishi
Yani waislamu wanachukiwa hata humuhumu kwenye bandiko????....tusifanye hivyo jamani?
 
Unazidi kuthibitisha kwamba waislamu wanachukiwa,tena kwa sababu zisizo na mashiko.

Wewe mwenyewe ukiwa ni sample.
Hata Makafiri wanachukiwa[/QUOTE]
Wanachukiwa na nani?.

Kwanini?.
 
Unapouluza vyanzo vya uhakika unamaanisha BBC, FOX NEWS, ALJAZEERA, nk?

Kwani hivyo "vyanzo vya uhakika" habari wanatoa wapi?!

Chukua mfano wa Azam Tv, habari zao wanazitoa wapi?

No.....nilikuwa namaanisha kuwa hii habari kuna sehemu ameitoa kwenye chanzo rasimi cha habari au ni maoni yake kwa jinsi mambo yanavyokwenda katika ulimwengu....!!??
 
Back
Top Bottom