Hawa ndio wanyama 10 wenye akili duniani

Hawa ndio wanyama 10 wenye akili duniani

Sokwe na akili zake zote hawezi hata kujenga nyumba ya kujisitiri.

Kama yeye ndiye kinara then wanyama wote hakuna mwenye afadhali.
 
Mkuu kasome upya classification kama hata hujui kama popo ni mnyama au ndege.
Achana na popo kwa kuwa mpaka leo jibu sahih sijui.

Umesoma nilichoandika kweli au umekimbilia kwa popo tu?
 
Kitimoto yupo nae kumbe,ndio maana nyama yake tamu
 
Swali la msingi ni nani aliyetoa majina kwa wanyama au majina ya wanyama yamepatikana vp?
 
Ninavyojua hayo makundi hua unayafuata ndani kadri unavyozidi kuzama kwenye kundi husika.

Hivyo mchwa ni mnyama, ila utaipata classification yake ukizidi kwenda ndani.

Hapana, hayo makundi sio ya ndani kama unavyoleza mkuu. Hayo ni makundi makuu yaani Kingdoms.

Zipo "kingdom" tano za viumbe hadi sasa.
1. Kingdom Plantae (Mimea)
2. Kingdom Animalia (wanyama)
3. Kingdom Fungi (fangasi)
4. Kingdom Monera (bakteria)
5. Kingdom Protoctista/protista (protozoa).

Kila kundi kuu ''kingdom" linajitegemea kabisa na hakuna kingdom iliyo ndani ya kingdom nyingine.

Makundi ya ndani yanaitwa Phyla (singular phylum), class, order ......

Kwahiyo bado ulichokisema kuhusu viumbe kugawanyika kwenye makundi mawili (wanyama na mimea) si sawa, si sahihi.
 
Sokwe na akili zake zote hawezi hata kujenga nyumba ya kujisitiri.

Kama yeye ndiye kinara then wanyama wote hakuna mwenye afadhali.

Nyumba si mahitaji yake, kwenye wanyama mahitaji yako ndio yanaamua shughuli na tabia yako.
 
Mnyama = Animal.
Animal is any member of kingdom Animalia.

Mchwa anapatikana Kingdom Animalia, phylum arthropododa, class insecta.

Kwa maelezo hayo mafupi, ya juujuu na ya jumla jumla, ninayo furaha kubwa kukujibu mbele ya hadhara hii, kwamba hakika Mchwa ni mnyama.
Ukiangalia kwa makini mtoa mada alimaanisha wanyama nje ya binadamu,kama angemaanisha Animal Kingdom basi asingemuacha Binadamu kama mnyama mwenye akili kuzidi wote.
 
Ukiangalia kwa makini mtoa mada alimaanisha wanyama nje ya binadamu,kama angemaanisha Animal Kingdom basi asingemuacha Binadamu kama mnyama mwenye akili kuzidi wote.

Ameeleza wazi kwamba nje na binadamu,
ukizungumzia animals moja kwa moja unazungumzia kingdom animalia and vice versa. There is no way hivyo vitu vikatenganishwa. Vinginevyo tuko pamoja.
 
Back
Top Bottom