Gentleman P
JF-Expert Member
- May 23, 2018
- 370
- 454
Cha ajabu na yeye anakuona hivyo hivyo...ugali twende, wali twende, nyama, mbogamboga...hawa binadamu wana akili kweli!! haha sasa sijui utathibitisha aje kwamba tumkubali naniDu kama nguruwe ana akili basi huu utafiti inabidi urudiwe na twaweza.
-Nguruwe anakula Kinyesi chako,Nguruwe akiwa na njaa akula hadi wanae,nguruwe aachi kitu chochote kilichopo mbele yake,yeye twende,takataka zote yeye anakula,weka funza,weka kinyesi,weka gogo lililooza,weka udongo yeye twende tu.