Unafikiri viumbe hai vimeanza kuwepo baada ya Kristu hii miaka 2000 unayoiona kwenye Kaenda?Miaka milioni 6000 imefika na kuisha lini? Duh
Ndio ni mnyama. Unajua taxonomy?Huyu naye ni mnyama?!!!
😂😂😂😂Hapa bora mngesema mbayuwayu, huyu kunguru wa Zanzibar hajui hata kujenga kiota, lakini mbayuwayu anajenga kiota kwa tope na kokoto halafu kwa kipimo na wala hakibomoki
AiseeView attachment 1634619
Kiota chake hujengwa chini ya kitu kigumu