Hawa ndio wanyama 10 wenye akili duniani

Mkuu asante kwa uzi mzuri. Ila majina ya Kiswahili sio ya mchezo , Bora ungeweka na kiingereza kwenye mabano kidogo maana huyo Fisi maji na huyo Pomboo kweli sijawahi kusikia hilo jina.
Haaaahaaaaa. Fisimaji ni seal.Na pomboo ni dolphin.
 
Mbona sungura mjanja sijamuina katika hiyo list ndefu!?
 
bora ya Jelly fish tunajua kbsa hana ubongo kuliko yule bwana ana ubongo lakn akili n sawa na za jelly fish.
 
Du kama nguruwe ana akili basi huu utafiti inabidi urudiwe na twaweza.
-Nguruwe anakula Kinyesi chako,Nguruwe akiwa na njaa akula hadi wanae,nguruwe aachi kitu chochote kilichopo mbele yake,yeye twende,takataka zote yeye anakula,weka funza,weka kinyesi,weka gogo lililooza,weka udongo yeye twende tu.
 
Mchwa nae ni Mnyama?
Kiswahili ni lugha mufilisi. Kuna tofauti kati ya animal na mamal yani mnyama na mamalia. Ndege, wadudu, reptilia, na mamals wengine huitwa wanyama COLLECTIVELY pale inapibidi kuwatofautisha na binadam.
 
Mkuu asante kwa uzi mzuri. Ila majina ya Kiswahili sio ya mchezo , Bora ungeweka na kiingereza kwenye mabano kidogo maana huyo Fisi maji na huyo Pomboo kweli sijawahi kusikia hilo jina.
Mbona Fisi Maji Lipo Kwenye Kiswahili? Tena Kwenye Majina Ambatano
 
Mkuu asante kwa uzi mzuri. Ila majina ya Kiswahili sio ya mchezo , Bora ungeweka na kiingereza kwenye mabano kidogo maana huyo Fisi maji na huyo Pomboo kweli sijawahi kusikia hilo jina.
Wapo mkuu, ndio majina yao, fisi maji mkorofi kama hayati faru jon, yeye hata jiwe au gogo anapandilia tu na ndio maana ziwa victoria wanawindwa sana kwani nyama ya fisi maji ni kama unakula viagra,
 
Mbona binadamu hujamtaja? Au siyo mnyama? Au sokwe katuzidi akili?
 
Du kama nguruwe ana akili basi huu utafiti inabidi urudiwe na twaweza.
-Nguruwe anakula Kinyesi chako,Nguruwe akiwa na njaa akula hadi wanae,nguruwe aachi kitu chochote kilichopo mbele yake,yeye twende,takataka zote yeye anakula,weka funza,weka kinyesi,weka gogo lililooza,weka udongo yeye twende tu.
Ndiyo maana ni muhimu sana kwa afya yako! Ukitafuna kilo moja kwa wiki hutajuta mkuu
 
bora ya Jelly fish tunajua kbsa hana ubongo kuliko yule bwana ana ubongo lakn akili n sawa na za jelly fish.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Du kama nguruwe ana akili basi huu utafiti inabidi urudiwe na twaweza.
-Nguruwe anakula Kinyesi chako,Nguruwe akiwa na njaa akula hadi wanae,nguruwe aachi kitu chochote kilichopo mbele yake,yeye twende,takataka zote yeye anakula,weka funza,weka kinyesi,weka gogo lililooza,weka udongo yeye twende tu.
Duuuh kwahiyo anakula hadi misumali, kokoto, chuma?
 
Back
Top Bottom