Hawa ndio wanyama 10 wenye akili duniani

Hawa ndio wanyama 10 wenye akili duniani

Tembo wana akili kubwa kuliko mnyama yeyote wa ardhi kavu.


Sokwe ni viumbe wa pili kwa kuwa na akili zaidi baada ya binadamu

Hapo sijakuelewa sasa tembo na sokwe nan zaid ikumbukwe sokwe ni wa ardhin
 
Inakwaje panya wa sua wanakosekana humu

Umefanya nizame Google aisee hiyo list sio
 
kicheche....Mzee wa tendo la ndoa kutwa hata mara 10

stoat_c_margaret_holland-2.jpg
 
Kwa anayehitaji kunguru wa kufuga anitafute, ninao wengi tu as pets na hata wa nyama.
 
niweke kwenye list ama sivyo utapata taabu saana.

images
 
Ngoja nikuibie siri moja ya utamu wa nyama mkuu.

Unajua nyama inakuwa tamu kulingana na kiasi cha glucose (sugar) mwilini mwake na viumbe wengi wanaopaa wanatumia kiasi kikubwa sana cha glucose ili wawe na energy hivyo ni viumbe wengi wenye asili ya ndege warukao wana glucose nyingi sana mwilini na ni watamu sana sababu ya kiasi kikubwa cha sugar content ndani ya miili yao.

Ndio maana njiwa, kunguru, kuku ni wanoni kuliko ng'ombe n.k
Elimu nzuri sana hii, ila nashindwa kui relate na yanayosemwa mtaani eti nyama ya kitimoto ndio the Best !
 
Kama hukumtaja HONEYBURGER basi bandiko lako lote ni batili.
 
PIG.jpg
Mmoja wa wanyama wenye akili nyingi, hupenda kucheza na kushirikiana na viumbe wengine, wana uwezo mkubwa wa utambuzi kuliko mbwa, huenda kuishi pamoja, ana uwezo wa kurejea nyumbani hata akiwa mbali, hutambua sauti za viumbe wengine kiurahisi.

Huyu jamaa huwa anaalika wenzie waje kuangalia jinsi anavyo GEGEDA aka KUTAFUTA WATOTO inasemekana lakini wali wafugaji wa hawa MBUZI WA KIKATOLIKI tujuzeni zaidi
 
Tembo wana akili kubwa kuliko mnyama yeyote wa ardhi kavu.


Sokwe ni viumbe wa pili kwa kuwa na akili zaidi baada ya binadamu

Hapo sijakuelewa sasa tembo na sokwe nan zaid ikumbukwe sokwe ni wa ardhin
wewe ndo unajifunua ulivyo zwazwa, kasema kwa upande wa binadamu, sokwe ni wa pili, ila kwa wanyama kama wanyama, tembo ni wa kwanza.
 
Back
Top Bottom