Hawa ndio wanyama 10 wenye akili duniani

Kwahyo jibu lako na maelezo yako unaona yapo sahihi?
Kwa maelezo na majibu yaliyotolewa kwenye post za nyuma ni kwamba kibayolojia mnyama ni kiumbe yoyote anayepatikana kwenye kingdom animalia, sasa binadamu, kunguru na mchawa, wote hao wapo kwenye hiyo kingdom animalia, kwahiyo wote ni wanyama.
I hope utakua unenielewa mkuu.
 
Inawezekana haujanielewa na uelewi unachotetea, ni hvi maelezo yako yanasema kunguru ni ndege, kichwa cha habari kinasema wanyama.... Inawezekana haujui unachotetea pia kama unaniambia animalia kumuweka kunguru, pia umedai wanyama wenye akili ningefurahi kama namba 1,2,3...10 ningemuona binadamu, ila inawezekana na wewe si mnyama sijui nikuweke kundi gani?

Animalia ni kunguru, sasa ntapata wapi jibu la popo kutojumuisha ingawa hatujui kuwa ni ndge au mnyama.

Nawasilisha.
 
Mkuu, umri wa dunia ni miaka bilioni kadhaa, umri wa "maisha" hapa duniani ni mamilioni mengi sana ya miaka, hivyo, japokuwa sina hakika na idadi ya miaka ya kuishi kwa hao viumbe kama alivyotanabaisha mdau hapo juu, nakuhakikishia uwezekano wa kuishi miaka hiyo upo maana maisha yamekuwapo kwa miaka mingi sana.

Hii unaambiwa huu ni mwaka 2018, ni mfumo tu wa kuhesabu miaka kikalenda lakini ukweli ni kwamba kumekuwapo na maisha kwa miaka mingi sana zaidi ya ''hutu tumiaka buku mbili"
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] unamjibu jellyfish wa jf au....

I mean no offence just fun
 
Nasikia huyu kiumbe ni hatari sana
Sumu yake ni deadly sana mkuu. Mungu hakunyimi vyote.

Ndio sababu kaweza kusurvive for millions of years licha ya kutokuwa na akili, moyo wa damu.

Anaweza sana kujilinda...hakuna kiumbe wa majini anaeweza kuthubutu kumchezea.

Its deadly!
 
Inawezekana haujanielewa na uelewi unachotetea, ni hvi maelezo yako yanasema kunguru ni ndege, kichwa cha habari kinasema wanyama.... Inawezekana haujui unachotetea pia kama unaniambia animalia kumuweka kunguru, pia umedai wanyama wenye akili ningefurahi kama namba 1,2,3...10 ningemuona binadamu, ila inawezekana na wewe si mnyama sijui nikuweke kundi gani?

Animalia ni kunguru, sasa ntapata wapi jibu la popo kutojumuisha ingawa hatujui kuwa ni ndge au mnyama.

Nawasilisha.
Mkuu kasome upya classification kama hata hujui kama popo ni mnyama au ndege.
 
Sumu yake ni deadly sana mkuu. Mungu hakunyimi vyote.

Ndio sababu kaweza kusurvive for millions of years licha ya kutokuwa na akili, moyo wa damu.

Anaweza sana kujilinda...hakuna kiumbe wa majini anaeweza kuthubutu kumchezea.

Its deadly!
Duh.. Baharini ndio kunaongoza kuwa na viumbe wa ajabu
 
Back
Top Bottom