Hawa ndio wageni wa CC!

Hawa ndio wageni wa CC!

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
mbona sijapata taarifa home kuwa soon utakuwa mwanafamilia au ndo mnafinalise,,

na pia wale wachumba wengine mmemalizana salama.... UNDENIABLE, TheDealer

tupo mwishoni kufinalise taarifa atakupatia Eli79
au hata gfsonwin.....

huyo UNDENIABLE tulimalizana siku nyingi
maana hata file letu kwa Baba V halikufika...
the dealer sina hata cha kumalizana nae,huo
moyo wake unamdondokea kila mtu
 
Last edited by a moderator:
Na bado mbona utajibeba mwaka huu! ongea vizuri na Kaizer, kakako anajua mengi wewe huyajui! wewe paramia tu!
Unakumbuka pale kiwatengu kakuambiaje, halafu ukampuuza sasa kakako kaja kukuambia, nae utampuuza?!

Shauri yako!
cc Heaven on earth

mfa maji .......malizia mwenyewe

maneno ya mkosaji hayo!!!!!!!!!

hapa Eli79 kafall mzima mzima haya maneno yako wala hayawezi kututenganisha
 
Last edited by a moderator:
babe,nimepitia huko mie,nayajua maradhi ya moyo......
kwa hiyo siwezi kukupa........

hiyo ilikuwa past,sa hivi am looking forwad
towards my future with you Eli79
Eli79 mtoto wa kiume, unaingia mtegoni kwa maneno haya hapa!
Kwanza Eli79 tafuta comments za mtu anaitwa figganigga, hata hivyo huyu Kaizer shemejio anaweza kuwa hamfahamu sana!

Utajibeba ziz ia!

wapi mimisa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom