Hawa ndio wageni wa CC!

Hawa ndio wageni wa CC!

Ok!
ila shemu kubwa nilikuwa najua masikhara ndio maana nilikuwa nadondosha moyo tu kwa kila apitaye! kumbe ipo serious to some extent!

wasiwasi!
naweza kupata mchumba seroius huku halafu siku tukizinguana anaweza kusema, aaaaah usinizingue babu wee kwanza tulikutana chit chat tuachane ki-chit chat! hapo sasa kazi inakuwa kubwa sana!

hujiamini kabsaaaaa wewe!
 
fainali Heaven on earth amenikubalia....bebii nitakupenda kwa moyo wangu wote, kwa nguvu zangu zote na kwa akili zangu zote.
yours in love Eli79
hahahhahah!!!!!!!!!!!!!watajibeba mwaka huu.................wenye vijino pembe wameze sumuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

kakak huyooooooooooooo kavuta bongeeeeeeeeeeeeeee la mchumaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

wa wawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
C'mon! i know i can't afford u but at least one night...i'll live to remember the best moments with ya' tafwazali

Ofcourse MONEY IS THE BIGGEST ISSUE ila money aside you still dont qualify!

1. I could give u a 1 night stand, its not an issue to me but i wont simply because i detect some longing in ya writing! Hence risk ya kuniganda kama luba ni kubwa!

2. Your too young to swim these waters! I gues ill be talkin to ya papitos we nenda kacheze na wenzio eeeh mtoto mzuriiii!
 
Ukweli upo! umewahi kusikia wezi wa kalamu? basi ndivyo nilivyofanya kisa na mkasa moyo wangu ulikuwa unadondoka, nikaona the best short cut ni kalumanzira, hata hivyo sikufanikiwa nilikamatwa na kiwatengu!

mkuu mbona nilikupa m'badala mapema sana? anyway unamfahamu Arabela?
 
Last edited by a moderator:
hahahhahah!!!!!!!!!!!!!watajibeba mwaka huu.................wenye vijino pembe wameze sumuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

kakak huyooooooooooooo kavuta bongeeeeeeeeeeeeeee la mchumaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

wa wawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

hahaa ijumaa ya leo mbona raha sana.....
Baba V tutahitaji faili letu ulishughulikie haraka sana!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Ofcourse MONEY IS THE BIGGEST ISSUE ila money aside you still dont qualify!

1. I could give u a 1 night stand, its not an issue to me but i wont simply because i detect some longing in ya writing! Hence risk ya kuniganda kama luba ni kubwa!

2. Your too young to swim these waters! I gues ill be talkin to ya papitos we nenda kacheze na wenzio eeeh mtoto mzuriiii!

haahaha!
DO NOT READ THE BIBLE ''FROM RIGHT TO LEFT'' THINKING IT'S QUR-AN YOUNG LADY!
just try me and you will never regret!
 
sasa je???
nakupendaje sasa??
karibu sana mahabuba wa mdogo wangu, furaha ya mdogo wangu, usingizi wa mdogo wangu, sabuni ya mdogo wangu,
waridi la moyo wa mdogo wangu, liwazo la mdogo wangu.
Ayaaaaaaaaaaaaaa polepole naanza kuona wivu, sasa sijui hatima yake nini! nisaidie!
 
haahaha!
DO NOT READ THE BIBLE ''FROM RIGHT TO LEFT'' THINKING IT'S QUR-AN YOUNG LADY!
just try me and you will never regret!

mdogo wangu wewe ya nini kuijaribu sumu kwa kuionja?
kesha sema yeye maji ya moto tafuta ya baridi wangu usije ukakoboka mwili ukanililia.
 
Back
Top Bottom