Hawa ndio wageni wa CC!

Hawa ndio wageni wa CC!

haahaha!
DO NOT READ THE BIBLE ''FROM RIGHT TO LEFT'' THINKING IT'S QUR-AN YOUNG LADY!
just try me and you will never regret!

Mhhhhhhhhhhhhhh! You are putting on fight! Its good though! Even better than what i expected. Let me see!

So how many 1 night stands have you had? (I too didnt think soo!)
 
Last edited by a moderator:
Ayaaaaaaaaaaaaaa polepole naanza kuona wivu, sasa sijui hatima yake nini! nisaidie!

utajibeba mwaka huu nakwambia....................
na huo wivu ni kidonda ukiushiriki shurti ukonde.
 
nshamwona

nini tena kiwatengu, juzi umenipa kipigo hadi nikazirai na ukanihurumia mwenyewe na kunipa tiba sasa na leo unakuja tena, nini bhana why me always?????? jamani hv mm sina haki ya kuishi huku CC, sasa unataka kunipiga tena? aaarrrrgggggg! bora mimisa tu angepokea moyo wangu najua haya mateso ya kufukuzwa na mgambo wa CC yasingekuwepo kabisaaa!
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhhhhhhhhhhh! You are putting on fight! Its good though! Even better than what i expected. Let me see!

So how many 1 night stands have you had? (I too didnt think soo!)
I've had a handful
....and how many have u had?
 
babe unaanza nini tena jamani!!!!!
Eli79

usijali ma wiii haya Eli79 aliyasema kabla hajakupata wewe. ila sasa kesha dondoka kwako kwa mtoto mashallah, black beauty, shingo kama ya twiga mtoto soft hujui ma karolaiti wala ma krimu, mtoto laaniiiiiiiii utafikiri umetengenezewa udongo uliolowana..................softtttttttttttttttttt kama mto wa home shopping centre.

wallah Eli79 atafaidi autamu haya mweeeh!! kazi kwako TheDealer na kiwatengu
 
Last edited by a moderator:
mdogo wangu wewe ya nini kuijaribu sumu kwa kuionja?
kesha sema yeye maji ya moto tafuta ya baridi wangu usije ukakoboka mwili ukanililia.

nimekoma dada, nimekoma... huyu lara 1 ananitishia sana!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
usijali ma wiii haya Eli79 aliyasema kabla hajakupata wewe. ila sasa kesha dondoka kwako kwa mtoto mashallah, black beauty, shingo kama ya twiga mtoto soft hujui ma karolaiti wala ma krimu, mtoto laaniiiiiiiii utafikiri umetengenezewa udongo uliolowana..................softtttttttttttttttttt kama mto wa home shopping centre.

wallah Eli79 atafaidi autamu haya mweeeh!! kazi kwako TheDealer na kiwatengu

hz ndio shukrani eehhh za kumsifiasifia hata mbele ya macho yangu, ningejua ningeteleza kwanza haafu ndio nimkuwadie Eli79
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom