LD,DENA AMSI,MICHELLE,MARIA ROZA,LIZZY,KIMEY,THE FINEST na wengine kibao wana muda gani humu jf?maana inaweza kua vigezo hufuatwa sana.mbona wengine 2kipost post ze2 hazpati wachangiaji?ndo kusema hazna ujazo?lakn hawa member bwana hata kama ka2mwa na mtu aje humu amtafutie mchumba wee nusu saa nyingi post mpaka zina jam why jamani?au ndo kujuana?mpaka kuna mwana jamvi mmoja aliomba kutoka jf.acha nibwatuke sumu iishe mnakera wana jamvi
Aisee hebu kama kwanza hii hapa chini....Watu watachangia vipi!? unaanzisha thread halafu unaingia mitini, ndugu unatakiwa kuendesha na kujibu hoja kwenye thread yako. Ukiinga mtini ina maana Thread cl_sd.
homu boyi na Thanx tumpatie ama? akimaliza hii anaweza kuja kusema tunamnyima thanx...
JF inanipa raha sana kila siku vituko haviishi.
Na wewe umeguswa? mbona wawaka?Watu kweli mmeguswa. Msingeguswa wala msingewaka!!
Hommie na THANKS tumpe nyingi ikiwezekana ampite hata MWANAKIJIJI kwa THANKShomu boyi na Thanx tumpatie ama? akimaliza hii anaweza kuja kusema tunamnyima thanx...
JF inanipa raha sana kila siku vituko haviishi.
Mna jadili nini hapa
Hommie sijui kaguswa wapi huyo maana asemi alipoguswaNa wewe umeguswa? mbona wawaka?
Jitahidi kuweka post zenye kugusa jamii, kama post hazina mguso watu wanasoma then wanaendelea na mambo mengine, kumbuka hii ni sehemu ya MMU hivyo ni tofauti na maeneo kama siasa etc. Mimi nadhani hakuna ubaguzi bali hawa watu uliowataja post zao zina mguso kwahiyo watu wanachangia. Pia hata kusoma ujumbe ni muhimu siyo kila post unachangia hata kama wenzako wamechangia mawazo yanayofanana na unayotka kuyatoa. Usijiskie vibaya watu kutocgangia post zako.
una muda gani hapa JF,mbona post ukitoa post watu wanachangia hivyo???:A S 13:
Kwanini hashycool hachangii thread za kokudo l.o.lMna jadili nini hapa
Hommie sijui kaguswa wapi huyo maana asemi alipoguswa
Hommie na THANKS tumpe nyingi ikiwezekana ampite hata MWANAKIJIJI kwa THANKS
hahahaha kamanda you have made my day...lolWacha tuzilimbikize.mpaka mia nane..mtoto akililia wembe jua vuzi lishaota.hahaha.
Na wewe umeguswa? mbona wawaka?
kwanini hashycool hachangii thread za kokudo l.o.l
ana ule ugonjwa wa kukosa naniiiiii kwa siku nyingi....ukimgusa ndo unamsaidia.....l.o.l