Hawa members wana muda gani hapa JF?

kasomeni mi-thread yake yote tumechangia...leo analalamika uongo,mwanaume gani unapenda attention za lazima kiiivyo? kama tunakukera hama kabisaaa sie tupo sana tu hapa ndo nyumbani.......!!!!
 
kasomeni mi-thread yake yote tumechangia...leo analalamika uongo,mwanaume gani unapenda attention za lazima kiiivyo? kama tunakukera hama kabisaaa sie tupo sana tu hapa ndo nyumbani.......!!!!
Endelea kuchangia tunafanya harambee hii THREAD leo ifike page ya 20
 
kasomeni mi-thread yake yote tumechangia...leo analalamika uongo,mwanaume gani unapenda attention za lazima kiiivyo? kama tunakukera hama kabisaaa sie tupo sana tu hapa ndo nyumbani.......!!!!
Mamito punguza hasira, mbona tumeshafikisha page ya tatu..leo atafurahi mwenyewe!! lol...
 
kasomeni mi-thread yake yote tumechangia...leo analalamika uongo,mwanaume gani unapenda attention za lazima kiiivyo? kama tunakukera hama kabisaaa sie tupo sana tu hapa ndo nyumbani.......!!!!

Kuna mbili nimeziweka karibu tulichangia sana
 
aiiiiseeeeeeeeee..
 
Jitahidi kuweka post zenye kugusa jamii, kama post hazina mguso watu wanasoma then wanaendelea na mambo mengine, kumbuka hii ni sehemu ya MMU hivyo ni tofauti na maeneo kama siasa etc. Mimi nadhani hakuna ubaguzi bali hawa watu uliowataja post zao zina mguso kwahiyo watu wanachangia. Pia hata kusoma ujumbe ni muhimu siyo kila post unachangia hata kama wenzako wamechangia mawazo yanayofanana na unayotka kuyatoa. Usijiskie vibaya watu kutocgangia post zako.
 
Watu watachangia vipi!? unaanzisha thread halafu unaingia mitini, ndugu unatakiwa kuendesha na kujibu hoja kwenye thread yako. Ukiinga mtini ina maana Thread cl_sd.
 
Endelea kuchangia tunafanya harambee hii THREAD leo ifike page ya 20
homu boyi na Thanx tumpatie ama? akimaliza hii anaweza kuja kusema tunamnyima thanx...
JF inanipa raha sana kila siku vituko haviishi.
 
inawezekana topic zao ni kali sana na zinavutia watu humu JF hasa jukwaa la mapenzi.

Sababu nyingine wameenda kwa sangoma ili post zao zipate wachangiaji.......joke wazee:wink2::hand:

Support your Lawyer...sue somebody......will sue Kokudo soon....l.o.l
 
It's the content that counts (Says The Citizen)
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…