Hawa members wana muda gani hapa JF?

Hawa members wana muda gani hapa JF?

Naupenda huu wimbo jamani
You raise me up so i can ..........
sijui kaimba nani embu anaeujua aendelee dedication to kokudo

Hata kama sio huu, auchukue tuuu!!


 
Last edited by a moderator:
Nilikusubiri Didis kwenye kiti moto ukaingia mitini, halafu uliniambia utanipigia hukupiga, nilipoteza simu kwahiyo number yako sina. nitakutumia number yang mpya kesho nikipata simu
Una kesi ya kutokujibu PM zangu halafu kuhusu simu tayari nimeishakununulia italetwa leo usiku pamoja na line yake case closed una jingine
 
Una kesi ya kutokujibu PM zangu halafu kuhusu simu tayari nimeishakununulia italetwa leo usiku pamoja na line yake case closed una jingine

afu ww!umenionea switboy wangu?mara ya 2 nakuuliza ujue
 
jamani maria roza anaomba msaada wetu ana tatizo.....nafikiri tukampe mawazo kwa ile thread yake then tutarudi
 
Kimey kwa ufupi ndugu mjumbe tokea uondoke jimbo la kokudo limekuwa na mabadiliko na maendeleo makubwa sana, jimbo limeishakuwa na vitongoji saba(page) halafu mvua zimeongeza zimenyesha mara 6(thanks alizopata kwenye hii thread) hii ni kuonyesha jinsi jimbo hili la kokudo limepiga hatua mbele kimaendeleo.
 
LD,DENA AMSI,MICHELLE,MARIA ROZA,LIZZY,KIMEY,THE FINEST na wengine kibao wana muda gani humu jf?maana inaweza kua vigezo hufuatwa sana.mbona wengine 2kipost post ze2 hazpati wachangiaji?ndo kusema hazna ujazo?lakn hawa member bwana hata kama ka2mwa na mtu aje humu amtafutie mchumba wee nusu saa nyingi post mpaka zina jam why jamani?au ndo kujuana?mpaka kuna mwana jamvi mmoja aliomba kutoka jf.acha nibwatuke sumu iishe mnakera wana jamvi

Mbona kwangu wanachangia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom