Hawa members wana muda gani hapa JF?

Hawa members wana muda gani hapa JF?

hivi Via Mobile ndio Nyani Ngabu??(naongeza posti kijanja hapa LOL):A S 13:
 
images

hahaha!salute!lazma ifike pg 30,,lol
 
Dah kweli jukwaa la mahusianao lina wenyewe, nimependa sana namna yenu ya kumsaidia mwenzetu kwenye harambee ya kujaza thread....


One love:wink2:
 
lkn cku hizi umeshindwa kumdhibiti ujue,,nataka nitafute mlinzi mwingine
Ndio kusema kibarua changu kinaota nyasi, nimeimarisha ulinzi nimeongeza mbwa watatu mmoja asubuhi, mwingine mchana, mwingine jioni
 
wenzio tunafuraha kuchangia post ya kokudo TANGU MWANZO....we ndo unakuja saa hizi jamani???

Acha tu, hii sherehe nimeikosa.

 
Last edited by a moderator:
Dah kweli jukwaa la mahusianao lina wenyewe, nimependa sana namna yenu ya kumsaidia mwenzetu kwenye harambee ya kujaza thread....
One love:wink2:

ndo wajibu wetu mkuu hadi kieleweke.....l.o.l
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom