Hawa members wana muda gani hapa JF?

Hawa members wana muda gani hapa JF?

Naupenda huu wimbo jamani
You raise me up so i can ..........
sijui kaimba nani embu anaeujua aendelee dedication to kokudo
 
NOpj3.jpg


DUH!


HASHY tuheshimiane aiseee....nina raha zangu usilete masihara na SAGNA....naomba sana!!!
 
safi sanaaaa LD weka manyimbo hayo mpaka thread ifike mwisho igome kukubali post......yaani raha sana jamani......


Tupate na upako wa jioni njema............


 
Last edited by a moderator:
Baadae nitatangaza washindi.
Walioshiriki kikamilifu kujaza sredi.
Michell, finest, gaga, changamkeni naona hashy amekuja kivingine.
 
Naupenda huu wimbo jamani
You raise me up so i can ..........
sijui kaimba nani embu anaeujua aendelee dedication to kokudo


You raise me up so i can stand on mountains...
you raise me up to face stormy seas....

kaimba JOSH GROBAN my dear sisy......

nice dedication
 
Halafu dorin unavyonifanyia sio vizuri

Nilikusubiri Didis kwenye kiti moto ukaingia mitini, halafu uliniambia utanipigia hukupiga, nilipoteza simu kwahiyo number yako sina. nitakutumia number yang mpya kesho nikipata simu
 
nilikusubiri didis kwenye kiti moto ukaingia mitini, halafu uliniambia utanipigia hukupiga, nilipoteza simu kwahiyo number yako sina. Nitakutumia number yang mpya kesho nikipata simu

na mimi nambaaa
 
Baadae nitatangaza washindi.
Walioshiriki kikamilifu kujaza sredi.
Michell, finest, gaga, changamkeni naona hashy amekuja kivingine.

duh,make sure aunt michelle is in top 3....l.o.l.....la sivyo nakuanzishia thread....l.o.l
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom