Having sex with a pregnant woman: What time (month) in her pregnancy I have to stop?

Nimekusoma Mama...

Chakushangaza njemba zote zilizochangia hapa zinahisia sawasawa, raha maradufu...

Mianaume ndivyo tulivyo.
 
Hivyo kama mama alikuwa na mabaki ya mbegu wakati anajifungua, na hayakuoshwa na omniotic fluid [/B]bai mtoto atayachukua wakati anatoka. Imeshatokea, au yaweza kukutokea wewe wakati unajifungua.
Mbegu gani hizo ambazo hazisafishwi na fluidi hiyo.....au ina maana mama hajiswafi na baba anamwaga ndoo nzima ya manii?

YO-YO avator yako ya pink bra na jina YO YO is very disturbing...pole kaka.
Poa poa
 
Duu! Mzee umeanzia mbali, kwa mbuzi na ng'ome?..vipi FUNGWE kwa wanyama inakuwaje na wao wakiwa wajawazito unapata raha maradufu?..

Mfano aliotoa wa wanyama kuvimba nyeti (gential organs) zao wakati wa mimba hauna neno. Hata hivyo, swali lako haliwatendei haki wanyama uliowataja. Naomba kueleza kwamba, kwa wanyama wengi hasa wasio jamii ya binadamu na sokwe (non-primates), ngono inafanyika wakati wakiwa kwenye joto tu. Hawafanyi ngono kwa ajili ya starehe (i.e they don't do sex for leisure or pleasure!!!). Kwao ngono ni kwa ajili ya kuzaa tu (sex is for reproduction and nothing else). Kwa hiyo hilo la kuuliza kama ngono ni tamu kwao wakati wa mimba au la halipo. Wanyama wote uliowataja hawawezi kufanya ngono bila kuwa kwenye joto. Kama huamini mpelekee ng'ombe wako dume wakati hayuko kwenye joto uone. Hilo dume litakurudi wewe mwenyewe!!!
 
:D ..... mbona atatoka nduki!!!! lol
 
Haya Bwana mwageni sera sisi tusio na ujuzi tufaidike.It seems mama is talking out of expirience!
 
Sasa je au ulitaka tutoke tukatafute wa nje?Ndoa tamu bwana.

Umenisoma vibaya kaka, hata mimi niko nayagida majuice ya unyumba hapa, kutoka kwa kakazetu, na mama. Siunajua wengine bado kaka.

Usihofu wakikamua sisi tunagida...moja moja.
 
Mfano aliotoa wa wanyama kuvimba nyeti (gential organs) zao wakati wa mimba hauna neno. Hata hivyo, swali lako haliwatendei haki wanyama uliowataja. Naomba kueleza kwamba, kwa wanyama wengi hasa wasio jamii ya binadamu na sokwe (non-primates), ngono inafanyika wakati wakiwa kwenye joto tu. Hawafanyi ngono kwa ajili ya starehe (i.e they don't do sex for leisure or pleasure!!!). Kwao ngono ni kwa ajili ya kuzaa tu (sex is for reproduction and nothing else). Kwa hiyo hilo la kuuliza kama ngono ni tamu kwao wakati wa mimba au la halipo. Wanyama wote uliowataja hawawezi kufanya ngono bila kuwa kwenye joto. Kama huamini mpelekee ng'ombe wako dume wakati hayuko kwenye joto uone. Hilo dume litakurudi wewe mwenyewe!!!

Naona umebadilisha Jina.

BTW: You got me wrong aliye leta hii experiance ya wanyama ni FUNGWE na si mimi kaka.
 
Hii furaha sijui inatoka wapi, fikiria mtoto wako akiwa na makapi ya mbegu zako za kiume juu ya paji lake la uso...just picture it out mwone yuko mbele ya uso wako na mbegu zako juu ya utosi wake ....i would rather NOT do it mwezi wa mwisho.

SAFI SANA INATOA PIPMLES ZOTE ,NDIO MAAANA WAMAMA WAMEAMUA KUPAKA SHAWA BADALA YA CREAM SIKUHIZI
 
:rolleyes: ehh, yamekua hayo tena?!!
 
Hii furaha sijui inatoka wapi, fikiria mtoto wako akiwa na makapi ya mbegu zako za kiume juu ya paji lake la uso...just picture it out mwone yuko mbele ya uso wako na mbegu zako juu ya utosi wake ....i would rather NOT do it mwezi wa mwisho.

Tuliwahi kufanya mchana na akashikwa na uchungu usiku,alizaa baada ya saa moja tangu aanze kusikia uchungu,Mi naona inasaidia kuzaa haraka.Na sio kwamba tunafanya kila wakati lakini wakati huu ni wa kuwa karibu sana na mkeo,kumkanda,kumkumbatia,kutomuudhi na kusaidia kazi nyumbani.Rudi nyumbani mapema,mpigie simu kila wakati na mwonyeshe kuwa yeye ndio kila kitu maishani mwako.
 
Tege Mungu akubariki sana, na usifanye wakati wa mimba tuu, fanya hivyo siku zote za maisha yenu, sincerely...usipretend kwa baadhi tu ya kuwa yeye ndio kila kitu maishani kwako. Naye anatakiwa ajibu mapigo hayo hayo kwani hiyo ndio basis ya ndoa yenye furaha na kudumu.
 
Tuliwahi kufanya mchana na akashikwa na uchungu usiku,alizaa baada ya saa moja tangu aanze kusikia uchungu,Mi naona inasaidia kuzaa haraka.Na sio kwamba tunafanya kila wakati lakini wakati huu ni wa kuwa karibu sana na mkeo,kumkanda,kumkumbatia,kutomuudhi na kusaidia kazi nyumbani.Rudi nyumbani mapema,mpigie simu kila wakati na mwonyeshe kuwa yeye ndio kila kitu maishani mwako.

Mkuu legatege....mmmhh ilkuwa weekend au public holiday? na unasema hufanyi mara kwa mara...kama unakula mpaka mchana, sinauhakika na hiyo frequency ya kuutafuna huo mzigo!
 
Du, kuwe na restriction huku wasiooa, wasijue haya !

waliooa wanasema kulala na mjamzito raha, wasiooa wanaoelezwa habari njema ya mima na magril friend zao, wanakimbia au wanaruka futi 100,

ama kweli dunia duara

KUOA DILI
 
Naona hapa wote wataalam na wote wameelemea sehemu moja babu kubwa wadau tupo sote hapa!!
 
Hii mada nilijifunza jambo ambalo kwenye kusoma kwangu sikujifunza. Uko wapi SteveD. Personally you were my model man. Come back na kama uko kwa jina jingine please let me know through pm, You were making my days
 
Kama hana tatizo lolote la kiafya na mtoto naye hana tatizo lolote ni mbel kwa mbele mpaka siku atakapojisikia uchungu hakuna shida kabisa
 
It is almost impossible to harm the baby in the uterus by having sex. The water that the baby floats in, the membranes that hold the water, the womb, the abdominal wall and the bony pelvis serve to protect the baby from being hurt.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom