Having sex with a pregnant woman: What time (month) in her pregnancy I have to stop? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Having sex with a pregnant woman: What time (month) in her pregnancy I have to stop?

Discussion in 'JF Doctor' started by Steve Dii, Sep 5, 2008.

 1. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Swali:

  Please advise me on this issue, be it medically or ethically. I am not engaged in the act but I just wanna equip myself with the knowledge or wisdom per se.

  Akhsanteni.

  Baadhi ya majibu:

  1.

  2.
  3.
   
 2. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ....am not medical expert but kwa jinsi ninavyofahamu kama mama hana complications kati ujauzito wake na yuko willing unaweza kula mzigo hata mpaka siku moja kabla hajaenda labour. Kinachowaogopesha watu kuwa eti mwanamke akienda kujifungua mtoto atatoka na uchafu (sperms) na wengine kutokujua raha au utamu wa kufanya mapenzi na mwanamke mjamzito. Mazee ni poa kishenzi i did it to my wife mpaka siku 1 kabla ya kwenda kujifungua.

  Muhimu ni kuwa mchague style ambayo mwanamke atakuwa comfortable kutokana na ukubwa wa tumbo na pia you need to do it slowly...Man u'll enjoy it believe me....
   
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kipanga, je ni kweli kuwa mtoto anayezaliwa katika mazingira kama hayo anakuwa na akili sana? Na kama hutojali miye kuuliza, je mtoto wako ana umri gani hivi sasa? Ahsante.
   
 4. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2008
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..hiyo itakuwa imani tu!

  ..labda anaweza akawa mpenda ngono, lol!
   
 5. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2008
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  I totally agree with kipanga sex with a pregnant woman is the best{the heat},we do until the last day unless she is not feeling well.Be careful of the tummy and enjoy yourself.
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2008
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu nina mashaka sana na sentensi yako kabla ya 'Akhsanteni'..

  Kwa nn imekaa ki-defensive?

  Just curious..man
   
 7. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mtindio mtindio mtindio..... si kwa nia mbaya ndugu. Ni kule kujali tu kuwa kinga ni bora kuliko tiba.
  J/mosi njema.
   
 8. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #8
  Sep 6, 2008
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..imekaa kama unataka kufahamu ukipata girlfriend mwenye mimba itakuwa vipi vile!

  ..itakuwa sawa tu!
   
 9. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #9
  Sep 6, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,661
  Trophy Points: 280
  Kama mama hana complications zozote unaweza kula uroda mpaka wiki ya mwisho lakini aste aste :) hasa kama daktari haoni dosaro zozote. Inadaiwa kwamba mbegu za kiume zina chemical ambayo inaweza kusababisha contractions hivyo kuepuka hili ni bora kuacha au kutonanino kwa ndani...LOL! :)
   
 11. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #11
  Sep 6, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,661
  Trophy Points: 280
 12. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2008
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Uroda hauna matatizo alimradi usikandamize tummy/belly period. In case kuna complications ndo tu consideration kuacha ni muhimu. Kuingiliana na mke akiwa pregnant inasaidia na iko-recommended kwa mazoezi ya misuli laini ambayo humweka mama katika on your position, get ready kwa kujifungua. As far as am informed.
   
 13. M

  Mama JF-Expert Member

  #13
  Sep 6, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  jirambe tu mwanangu hadi atakapoanza kuoata labor pains. In late pregnancy ni nzuri kwani inasaidia kufungua njia.
   
 14. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #14
  Sep 7, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mamaaaaa!!!! 'missed you, where've u bn?!! Thanx kwa ushauri, bora sasa hivi nina confidence zaidi, maana ushauri uliopo hapo juu ulikuwa toka kwa njemba zote kama sikosei. Halafu si unajua mambo ya bias yanavyokuwa...Tulishaambiwa, mwamba ngoma ngozi huivutia kwake. But Hearing from you mama is even reassuring. Basi kama unavyosema, pale nitakapomwona tu anaanza kupenda mbilimbi kwa sanaa na kunyemelea ukwaju gengeni huku akiwa na kakifuko ka udongo mlaini wa kuramba, na akiwa anaanza kunitumatuma salty crisps pale Imalaseko na Shoprite, miye nitakuwa sina wasi tena!! :)

  By the way, na hilo swala la kufungua njia ni kwanini tena? Miye nilifikiri kuwa as muda wa labor unavyoapproach ndivyo hormones za kulegeza muscles na ku-release lube ndivyo zinavyochanganyia.... au?!! Enlighten me pls.

  Son!
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  Sep 7, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,661
  Trophy Points: 280
  LOL! Mama umenipa msamiati mpya wa kujiramba tu :). Mbona umeadimika hivyo kama shilingi ya jumuiya ya Afrika mashariki? Wana JF wengi huwa tunakumiss sana. Usiingie mitini jumla jumla
   
 16. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #16
  Sep 7, 2008
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
  Most of the above comments are correct, but b'se I am the medic it is my duty to put some professional comments as follows:-

  Can I Have Sex During Pregnancy Without Harming my Baby?

  There is no reason to change or alter your sex life during pregnancy unless your doctor advises otherwise. Intercourse or orgasm during pregnancy will not harm the baby, unless there is a medical problem. Remember that the baby is well protected in the uterus by the amniotic fluid that surrounds him or her.

  Your doctor may recommend not having intercourse early in pregnancy if a woman have a history of miscarriages (repeated pregnancy waste). Intercourse also may be restricted if there are certain complications of pregnancy, such as pre-term labor or bleeding. You may need to ask your doctor to clarify if this means no penetration, no orgasms, or no sexual arousal, as different complications may require different restrictions.

  How Can I Have Comfortable Sex During Pregnancy?

  As pregnancy progresses, changing positions may become necessary for your comfort. After the fourth month of pregnancy a woman may notice feeling dizzy or nauseated while lying flat on her back. This is related to the weight of the growing uterus pressing on major blood vessels. Positions may need to be altered at this time.

  A water-based lubricant may be used during intercourse if necessary.

  During intercourse, you should not feel pain. During orgasm, the uterus will contract. If you have any contractions that are painful or regular, please contact your doctor. Also, discontinue intercourse if you a woman is having heavy vaginal bleeding or if water breaks (nothing should enter the vagina after your water breaks).

  Talking to your partner about how you are feeling about sex and any concerns you have will help you stay comfortable. Also, encourage your partner to communicate with you, especially if you notice changes in your partner's responsiveness. Communicating can help you both better understand your feelings and desires.

  Will My Sexual Desires Change During Pregnancy?

  It is common for woman"s sexual desires to be different during pregnancy. Changing hormones cause some women to experience an increased sex drive during pregnancy, while others may not be as interested in sex as they were before they became pregnant.

  During the first trimester (first three months of pregnancy), some women commonly lose interest in sex because they are tired and uncomfortable, while other women's sexual desires stay the same.
   
 17. K

  Kishazi JF-Expert Member

  #17
  Sep 10, 2008
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Kwa mtazamo wangu, hili jambo linawezekana isipokuwa wanashauri mtu usimimine zege ndani. Kwa hiyo, cha muhimu ni kuchange style yaani usije ukakamua missionary style (a.k.a kifo cha mende) as unaweza ukadisturb tumbo au mimba. Pia sperms usiziachie ndani, manake manesi wengine hasa katika dakika za majeruhi (za kwenda labour) kama ulimwaga ndani, huwa wanakutana na uchafu wakati mama anajifungua so, huwa wanamind kimtindo. Hivyo kwa siku za mwisho mwisho karibu na kujifungua unaweza ukawa unamimina zege (i.e. sperms) nje.
   
 18. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #18
  Sep 10, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ...Steve D, mtoto wangu ana miaka 7 na miezi 8 yuko grade two. Suala la akili sana sielewi una maana kuwa ni "kipanga" sana wa kujua mambo au vipi? Lakini kwa ufupi mtoto yuko normal kabisa na pia hata class kwao yuko vizuri sana am reguraly communicate na hata mwalimu wake!!!!
   
 19. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2008
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni poa kabisa, my wife ana ujauzito wa takribani miezi nane na nusu, hata leo saa kuminamoja alfajiri nimepiga bao, inapendeza sana......(ndani kuna joto babu kubwa, utapenda). Hivyo ndugu yangu endelea kula vitu mpaka one week before delivery.
   
 20. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #20
  Sep 12, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  .....Bravo Keep it up!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...