Ukitaka kuelewa utaelewa, lakin unaweza kuwa hutaki kuelewa..hata tuhubiri uck kucha kwa mifano ni kupoteza muda..mambo ya katiba yana utaratibu wake na yanategemea mambo mengine mengi, moja ni utayari wa jamii husika kuandaa, kupitisha na kutekeleza matakwa ya katiba..wakati mwingine unaweza Dhani katiba nzr italeta majibu ya matatizo yote kumbe sivyo, sabab jamii haina utayari kuiishi katiba mpya..ni sawa na mfuga nguruwe angependa nguruwe wawe safi muda wote kwa kuwaogesha kila mara lakini ni kazi bure sababu nguruwe hafaham kama mfugaji anapenda awe msafi wakati wote..jamii yetu ina matatizo mengi mno mengine hayahitaji katiba mpya kuyatatua, sasa ukiwa kiongozi una will ya kuchagua yale ambayo unaona utaweza kuyakabili, na ndicho Alichofanya, wewe unayetaka kuanzia kwenye katiba, subiri akimaliza uombe hiyo nafasi, ukipata Anza na hayo unayoona unaweza kurekebisha..katiba mojawapo, usilaumu mtu kutotimiza vipaumbele vyako.