Hatukumuelewa Mzee wetu, huo ndiyo ukweli!

Hatukumuelewa Mzee wetu, huo ndiyo ukweli!

Hizo ni porojo tu za kisiasa kiundani hamna ukweli
Porojo za kisiasa kwa wizi tulioona kwa macho yetu? Au unadhani tumelala sana kiasi hatujui lolote. Mlipora uchaguzi kishamba sana kwa ukhanithi wa kutaka kumfurahisha mtu.
 
Kama una hakika alimshinda Lisu, kwanini hakutaka kura zake halali za ushindi zitangazwe? Bora wewe umekiri kuwa alikuwa anateka watu, ila ni kwa hisia zake hasa kwa watu waliokuwa hawamsujudii. Wenzako wanasema yeye hakuwa mtekaji.
Kuteka wapumbavu ni sawa kabisa
 
Nchi ilikuwa imeisha na sheria za kufuata zilikuwepo, kwanini hakuzifuata? Mbona katika hiyo vita yake hakuwagusa wahusika halisi wa huo uchafu ambao ni Makada wenzake wa CCM? Unaumiza ambao hawajasababisha tatizo, unawacha wahusika kwa lugha nyepesi ya kutofukua makaburi! Hiyo akili yako ww kama hujui hilo basi ni akili ya kuvukia barabara.
Sasa hivi au kabla ya Magufuli sheria zilikuwa zinafuatwa?
 
Kama aliona hizo sheria hazina nguvu, kwanini alikataa katiba mpya ambayo ilikuwa inaweka uwajibikaji kwa kila mtu? Kwahiyo kuteka watu ndio ilikuwa mbadala wa sheria zilizopo?
Ukitaka kuelewa utaelewa, lakin unaweza kuwa hutaki kuelewa..hata tuhubiri uck kucha kwa mifano ni kupoteza muda..mambo ya katiba yana utaratibu wake na yanategemea mambo mengine mengi, moja ni utayari wa jamii husika kuandaa, kupitisha na kutekeleza matakwa ya katiba..wakati mwingine unaweza Dhani katiba nzr italeta majibu ya matatizo yote kumbe sivyo, sabab jamii haina utayari kuiishi katiba mpya..ni sawa na mfuga nguruwe angependa nguruwe wawe safi muda wote kwa kuwaogesha kila mara lakini ni kazi bure sababu nguruwe hafaham kama mfugaji anapenda awe msafi wakati wote..jamii yetu ina matatizo mengi mno mengine hayahitaji katiba mpya kuyatatua, sasa ukiwa kiongozi una will ya kuchagua yale ambayo unaona utaweza kuyakabili, na ndicho Alichofanya, wewe unayetaka kuanzia kwenye katiba, subiri akimaliza uombe hiyo nafasi, ukipata Anza na hayo unayoona unaweza kurekebisha..katiba mojawapo, usilaumu mtu kutotimiza vipaumbele vyako.
 
Katika watu waliumizwa na utawala wa Magu ni Tindo.

Yani hapo alipo ana stress za makovu aliyoachiwa na Magu
 
Media Cypirian musiba labda
Miaka ya uharibifu wa Tanzania 2005-2015

Tanzania iliharibiwa makusudi
Tanzania ilipotea

Bado Tanzania itadumbukia shimoni

Bahati mbaya wanaua media za kiuzalendo na wanazijenga media za kiarabu ( hii nchi haipo mbali kupasuka)
 
Kura za halali zilitangazwa na magufuli alishinda.mtu ambaye anayefikiri lisu alishinda apimwe Akili.magufuli alikuwa against goons kina lisu.
Hivi ukijipima unajiona kichwa chako kiko sawa?

Kwenye uchaguzi huru Jpm hata 20% ya kura asingefikisha. Usidhani alikuwa mjinga kupora ule uchaguzi kwa damu na mtutu
 
Ukitaka kuelewa utaelewa, lakin unaweza kuwa hutaki kuelewa..hata tuhubiri uck kucha kwa mifano ni kupoteza muda..mambo ya katiba yana utaratibu wake na yanategemea mambo mengine mengi, moja ni utayari wa jamii husika kuandaa, kupitisha na kutekeleza matakwa ya katiba..wakati mwingine unaweza Dhani katiba nzr italeta majibu ya matatizo yote kumbe sivyo, sabab jamii haina utayari kuiishi katiba mpya..ni sawa na mfuga nguruwe angependa nguruwe wawe safi muda wote kwa kuwaogesha kila mara lakini ni kazi bure sababu nguruwe hafaham kama mfugaji anapenda awe msafi wakati wote..jamii yetu ina matatizo mengi mno mengine hayahitaji katiba mpya kuyatatua, sasa ukiwa kiongozi una will ya kuchagua yale ambayo unaona utaweza kuyakabili, na ndicho Alichofanya, wewe unayetaka kuanzia kwenye katiba, subiri akimaliza uombe hiyo nafasi, ukipata Anza na hayo unayoona unaweza kurekebisha..katiba mojawapo, usilaumu mtu kutotimiza vipaumbele vyako.

Katiba lilikuwa ni takwa la wananchi na sio matakwa ya rais aliyeko madarakani. Kwa rais asiyejitambua anadhani yeye ndio mwenye maamuzi na matakwa ya wananchi. Alikuta mchakato wa katiba mpya mezani, alipaswa kutekeleza sio kutekeleza kinachotakiwa na kichwa chake. Hatutaki katiba mpya itatue kila tatizo, ila iweke utaratibu sahihi wa utawala, moja wapo ni hilo la rais kudhani yeye ndio muamuzi wa kila kitu.
 
Hatukumuelewa mzee wetu, hili nililisema na nitaendelea kulisema hilihili mpaka kiama.

Mzee alijua kuwa kijana yule hakuwa "President material" at al,l ila kwa kuwa watu wengi ama kwa kudanganywa ama kwa kurogwa walishaanza kufall in love na kijana yule haikuwa rahisi mzee kusema hafai moja kwa moja.

Mzee alijua wale ni waswahili na wanaweza kumuunganishia kuwa yeye aliyekataa ukabila ndio mkabila na mbaguzi, hivyo mzee alitumia busara zake kusema kwamba kijana bado bado, akue kidogo ndio atafute hiyo top position.

Mzee aliamini kuwa baada ya miaka 10 ufumbuzi utapatikana wa kumpoteza kijana asiwe top milele maana hafai. Bahati mbaya mzee akaondolewa ama akafariki kabla hata miaka kumi haijaisha, kijana akawa na furaha kwamba kigingi chake kimeng' olewa, akapambana kutimiza lengo lake.

Watu walivyoshindwa kumuelewa Hayati, wakafikiri kuwa alimaanisha go ahead after ten years, wakamsaport kijana wa hovyo hovyo apewe dhamana kuu.

Miaka 10 ya huyo ndio iliyoleta uharibifu mkuu kwenye taifa hili, kuanzia biashara za madawa ya kulevya, ufisadi wa kutisha ngazi za juu, neno mchwa likazaliwa huku chini halmashauri, mikataba ya hovyo, n.k, n.k.

Leo hii balaa zote zinazoendelea nchi hii kwa asilimia 90 zilitengenezwa katika awamu yake, na bado linang'ang'ania kuendeleza mambo yake.

Hakika hilo limekuwa "JOKA" (J.K) katika taifa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Balaa kubwa limekuja kuanzia 2015, yule kichaa alidhamiria uharibifu mtupu.
 
Nyerere alikuwaje sijui. Kama alishaiona hiyo shida ilibidi ampoteze kisiasa tangu zamani kabla hata hakuota mizizi
Wakati Dola chini yake ndiyo iliyomuandaa jk kuwa kiongozi baada ya kuona kipaji hicho
 
Back
Top Bottom