Kama unaomba uongozi ili utekeleze kila wanalosema unaowaongoza basi hujui maana ya kuwa kiongozi..lkn kabla hata ya kuwa kiongozi lazima uifahamu vzr jamii ya watu unaotaka kuwaongoza, mfano..5% ya raia wote ni matajiri wana mahitaji yao ambayo maskini yanaweza kuwa hayana faida kwao..20% ni wasomi nao wana mahitaji yao, 60% ni watoto nk hitaji lolote la jamii vzr kufaham ni kipaumbele cha ngapi katika makundi ndani ya jamii na upime uwezo ulio nao akili, muda nk km zinaruhusu wewe kulitekeleza..unaingia madarakani nchi, haikusanyi kodi, ufisadi, uonevu, umaskini, afya za watu wako ni dhoofu nk bado unadhani katiba ndio hitaji la kwanza kutekeleza? Labda kama umekariri kwamba nikiingia tu cha kwanza ni katiba bila kujali hali yoyote nitakayoikuta..huo sio uongozi! Labda sasa utaelewa!