Hatuhitaji tena Rais aliyesoma masomo ya sayansi

Mkuu,ila kwa suala la kayiba kuwa mbovu kwa jiwe sio tatizo,hata ingekuwa nzuri aje angeifuata?! Mangapi kayafanya bila kufuata katiba?

Umefikia hitimisho hatari sana!! Tatizo ni mfumo (Katiba) wetu mbovu wa kuendesha nchi wala tatizo si wanasayansi kuwa viongozi. Unaweza kuwa mwanasayansi ukawa kiongozi mzuri ama mbaya kutegemeana na wewe mwenyewe makuzi yako kwenye kuyapambanua mambo!!
 
Tatizo sio taaluma ya mtu bali ukosefu wa taasisi imara kama taifa na tendecies za kuchumia tumbo, udikteta, kiburi na ukosefu wa hekima na busara ndio haribifu na shetani wetu, mbona Kansela wa Ujerumani Angela Merkel ni mhandisi mitambo na nchi inakwenda vizuri tu japo sasa wameanza kumchoka kwa sababu kakaa sana, she has overstayed her hospitality! Jimmy Carter rais wa 39 wa Marekani alikuwa Nuclear physicist na nchi ilitulia japo foreign policy ilikuwa inamgonga sana kama huyu wa kwetu ndio maana akaishia kutawala muhula
mmoja tu. Kwa hiyo shetani ni ukosefu wa taasisi imara sio taaluma hii au ile!
 
Wacha hizo mkuu watu wasayansi huwa wanataka fact kama ni yes ni yes kama ni no ni no.Wako practical orriented ndomaana unaona maendeleo katika maflyover madenge, stiggler's goerge, mabarabara yote yameweza kufanywa, na hiyo ndo sifa halasi ya mtu aliyesoma sayasi kwamba anauwezo mkubwa wakufikiri na kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja hii inadhihirishwa hata huko mashuleni watu wanaochukua sayasi wanasoma hadi masomo ya sanaa lakini vice versa is not true. Ungesema watu wa sayasi hawana siasa za porojoporojo hapo tungekuwa pamoja.
Wanasayansi wanataka MATOKEO!! si uzuri wa lugha, sera, nk...
 
Huyu akimaliza muda wake itakuwa imetosha. Watu wanaosomea masomo ya sayansi kiasili wengi wao hawaji kuwa viongozi wazuri,sijui ni makemikali ya huko maabara ndiyo yanachanganya bongo zao.Huyu wa sasa awe wa kwanza na wa mwisho,waliosomea masomo ya sanaa na biashara watatufaa zaidi.
Ni mwendawazimu tu humlaumu daktari anayemtibu kichocho alichonacho..akasahau kulaumu jinsi alivyopata kichocho! inaweza kuwa ujinga wake kuoga kwenye madimbwi akapatwa kichocho,sasa anamlaumu daktari kwa nini alifundishwa kuchoma sindano..
 
Msitufanyie hivyo kwamba sisi wasoma sayansi hatufai kuwa viongozi!!!!

Hilo ni swala la jiwe kivyake huko na ushamba wake si kwa wote bhana.
 
Tatizo sio taaluma ya mtu bali ukosefu wa taasisi imara kama taifa na tendecies za kuchumia tumbo, udikteta, kiburi na ukosefu wa hekima na busara ndio haribifu na shetani wetu, mbona Kansela wa Ujerumani Angela Merkel ni mhandisi mitambo na nchi inakwenda vizuri tu japo sasa wameanza kumchoka kwa sababu kakaa sana, she has overstayed her hospitality! Jimmy Carter rais wa 39 wa Marekani alikuwa Nuclear physicist na nchi ilitulia japo foreign policy ilikuwa inamgonga sana kama huyu wa kwetu ndio maana akaishia kutawala muhula
mmoja tu. Kwa hiyo shetani ni ukosefu wa taasisi imara sio taaluma hii au ile!
Ndio maana wanasayansi wakuu wa nchi ni wachache sana (yaani ni wakutafuta Kwa tochi) hii maana yake hawaaminiki
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Huyu akimaliza muda wake itakuwa imetosha. Watu wanaosomea masomo ya sayansi kiasili wengi wao hawaji kuwa viongozi wazuri,sijui ni makemikali ya huko maabara ndiyo yanachanganya bongo zao.Huyu wa sasa awe wa kwanza na wa mwisho,waliosomea masomo ya sanaa na biashara watatufaa zaidi.
Bashite hata hiyo biashara au sanaa alisomea wapi...?!
...
 
Tumekuelewa kiongozi lakini dadavua ubaya wake upo wapi!!

Back
Top Bottom