Hatuhitaji tena Rais aliyesoma masomo ya sayansi

Wana Sayansi wanapungukiwa elimu ya upande wa mwanadamu (Human Dimension) katika msisitizo wa kazi, uongozi na utawala. Wao huona binadamu ni kama vitu na nyenzo zingine zozote kama kompyuta, msumari, nondo, n.k. They treat people as machine, punishment, and they ignore human respect, dignity, integrity, etc. Wao husimama kwenye adhabu, dharau, manyanyaso na mateso mengine mengi. Miaka ya mwanzoni kabisa ya 1900, alikuwepo mwana sayansi mmoja ambaye alikuwa Injinia (Engineer) aliitwa Frederick Taylor. Huyu alipendekeza mfanyakazi atengenezewe sheria, adhabu na kanuni kali kweli kweli na zitumike mahali pa kazi. Mawazo yake ni kwamba baadamu mtu analipwa mshahara, basi apigwe tu na kudhalilishwa. Kuanzia Miaka ya 1920 na kuendelea ndipo walipoibuka wasomi wengine wa masomo ya elimu jamii (Arts) ikiwepo Saikolojia na kupinga mfumo na utawala huo kwa hoja kwamba ni makosa kumfananisha mtu na kitu chochote kwani mfanyakazi mahali pa kazi ana haki ya likizo, kuhusishwa ktk maamuzi, kudhaminiwa, kuheshimiwa na kupewa nafasi ya kujirekebisha penye upungufu.
 
Umetoa ufafanuzi mzuri sana
 
Ningekuwa rais wala nisingewajibu. Ningeendelea tu kufanya yangu.
Na ningehakikisha mipango ifuatayo inafanyika kikamilifu
1.Upanuzi wa viwanja vya ndege unaenda sambamba na upanuzi wa magereza yote nchini.
2. Ununuzi wa ndege unaenda sambamba na ununuzi wa viongozi wa upinzani. Atakayegoma kununuliwa akumbuke mpango namba moja.
3.Ujenzi wa barabara na madaraja mapya unaenda sambamba na ongezeko la rasilimali watu katika majeshi yetu yote
4.Huduma za afya na elimu zote ningeziingiza katika mpango wa bima. Hapa kila mtanzania mwenye umri kuanzia miaka 18 atalazimika kulipia bima ya elimu na afya kila mwaka mpaka anakufa. Asiyelipia hatopewa huduma kwenye taasisi yoyote nchini na anaweza akashtakiwa kwa mujibu wa sheria. Rejea mpango namba moja.
5.Ningeanzisha viwanda ambapo waajiriwa wasiokuwa na ujuzi watakuwa wakifanya kazi za kubeba box kwa masaa. Hapa ni kuhakikisha mpango namba 4 unafanikiwa
6.Biashara zifuatazo zingekuwa zinafanywa na serikali pekee. Umeme, maji, safari za anga, safari za maji, safari za barabara, sheli, mawasiliano, bandari, utalii, madini na mavazi(hapa lazima mtavaa vazi la taifa)
7.Wale wa vyeti feki, rejea mpango namba moja
8.Wapiga deal, rejea mpango namba moja.
9.Wazururaji, rejea mpango namba moja
10. Wadangaji, rejea mpango namba moja. Mitandao yote ya porn kuifungia.
 
Upo sawa lakini,cha muhimu usitupe watu kwenye bahari ndani ya viroba
 
Huyu akimaliza muda wake itakuwa imetosha. Watu wanaosomea masomo ya sayansi kiasili wengi wao hawaji kuwa viongozi wazuri,sijui ni makemikali ya huko maabara ndiyo yanachanganya bongo zao.Huyu wa sasa awe wa kwanza na wa mwisho,waliosomea masomo ya sanaa na biashara watatufaa zaidi.
Mkuu umesahau Mkapa aliuza viwanda vyote vya Nyerere,na kujilimbikiza miradi zote .madhara yake ndio yameanza kujitokeza.je Mkapa alikuwa mwanasayansi?
Mh Raisi Kikwete aliulizwa pale Ufaransa kuwa chanzo cha umaskini katika Tanzania ni nini?Akajibu hajui.Je JK ni mwanasayansi.
Na hata Raisi Nyerere aliposema mvua za kwanza ni za kupandia je ni ushauri wa kisayansi?
Viongozi wakuu waliogeuza nchi yetu shamba la bibi walikuwa wanasayansi?
Muda wa porojo za sikubali wala sikatai zimefikia mwisho.
 
Sidhani kama hilo ni tatizo, nafikiri uongozi ni "Kipawa" anachokitoa Muumba na yeye amewapa wachache sana hicho kipawa.

Sio kila moja anaweza kuwa kiongozi ndio maana wengine wasio na vipawa na wakaukwaa uongozi kwa kismetj ndio wale ambao huishia kuwa madikteta.

So leadership is a divine prowess and it has nothing to do with one's professional achievements or economic status.

The former British Prime Minister Mr. Winston Churchill made a good leader despite his modest educational background and he has gone down in history as arguably the best prime minister in Britain's history.

In my view, we better have a leader with modest education who is humble and law abiding than the so called educated elites holding the dubious doctorate degrees who don't even understand the basic rudiments of leadership and who think that repression and coercion are the fundamental tenets of leadership. We can do away with these type of people as our leaders.
 
Huyu akimaliza muda wake itakuwa imetosha. Watu wanaosomea masomo ya sayansi kiasili wengi wao hawaji kuwa viongozi wazuri,sijui ni makemikali ya huko maabara ndiyo yanachanganya bongo zao.Huyu wa sasa awe wa kwanza na wa mwisho,waliosomea masomo ya sanaa na biashara watatufaa zaidi.

Na wewe ukapimwe akili si mzima
 
Mkuu umesahau Mkapa aliuza viwanda vyote vya Nyerere,na kujilimbikiza miradi zote .madhara yake ndio yameanza kujitokeza.je Mkapa alikuwa mwanasayansi?
Mh Raisi Kikwete aliulizwa pale Ufaransa kuwa chanzo cha umaskini katika Tanzania ni nini?Akajibu hajui.Je JK ni mwanasayansi.
Na hata Raisi Nyerere aliposema mvua za kwanza ni za kupandia je ni ushauri wa kisayansi?
Viongozi wakuu waliogeuza nchi yetu shamba la bibi walikuwa wanasayansi?
Muda wa porojo za sikubali wa sikatai zimefikia mwisho.
Kuna makosa yanavumilika
 
Karibu Tanzania, kuna mzee aliniambia hatuhitaji watu wa Pwani kuwa marais wetu
 
Huyu akimaliza muda wake itakuwa imetosha. Watu wanaosomea masomo ya sayansi kiasili wengi wao hawaji kuwa viongozi wazuri,sijui ni makemikali ya huko maabara ndiyo yanachanganya bongo zao.Huyu wa sasa awe wa kwanza na wa mwisho,waliosomea masomo ya sanaa na biashara watatufaa zaidi.
NAA-KWELI! NI HATARI SANA KUONGOZWA NA MWANASAYANSI, YA MAUMBILE AU JAMII, ALIYEKARIRISHWA KUWA KILA SWALI LINA JIBU MOJA!
 
Tatizo la siasa za Africa usalama wa taifa unaachia kila maamuzi wanasiasa, tofauti na wenzetu japokuwa vyama vya siasa ndio vinaunda serikari lakini wakiingia wanakutana na administration ambayo imejipanga kulinda maslahi mapana ya nchi ukija na sera ya ajabu ajabu watairekebisha kiasi kutoleta madhara either kwenye uhusiano wa kimataifa, uchumi and all other important social and security measures.

Na watu pekee wenye kuweza kuwamudu wanasiasa kwa nyanja zote ni senior civil servants basically kwa wenzetu wala sio siri wote ni maafisa usalama na hakuna wanao heshikima kama makatibu wakuu wa wizara, wakifuatiwa na wakurugenzi (kupitia kundi hili ndio utasikia wameteuliwa kushika nafasi za MI5 or MI6) sasa hadi kufika hapo shughuli yake sio ndogo kabisa.

Sio sisi tunapeana tu dhamana za kazi kubwa kubwa bila ya weledi wa kazi ndio maana kunakuwa na maamuzi ya ovyo mengi kwa sababu viongozi wa serikari wanaotoka kwenye vyama vya siasa awana timu ya washauri waliobobea wengi wao ni tia maji tia maji tu.
 
Huyu akimaliza muda wake itakuwa imetosha. Watu wanaosomea masomo ya sayansi kiasili wengi wao hawaji kuwa viongozi wazuri,sijui ni makemikali ya huko maabara ndiyo yanachanganya bongo zao.Huyu wa sasa awe wa kwanza na wa mwisho,waliosomea masomo ya sanaa na biashara watatufaa zaidi.
Mbowe kasomea nini !? Maana yule fisadi mliomuosha yeye ni msanii wa sana za maigizo !
 
Back
Top Bottom