Me nasoma pure science Natka uraisHuyu akimaliza muda wake itakuwa imetosha. Watu wanaosomea masomo ya sayansi kiasili wengi wao hawaji kuwa viongozi wazuri,sijui ni makemikali ya huko maabara ndiyo yanachanganya bongo zao.Huyu wa sasa awe wa kwanza na wa mwisho,waliosomea masomo ya sanaa na biashara watatufaa zaidi.
Upo sawa kabisaWengi wanalidharau lile somo la Principal of management (PM) ndio tatizo linaanzia hapo hawajui kanuni za uongozi kabisa,
Tunawaogopa kuwapa nchi nyie wanasayansiMe nasoma pure science Natka urais
WamekusikiaJf Mods lazima wataondoa huu Uzi, they are full of cowardice nowadays
This is fallacy of generalization.......Huyu akimaliza muda wake itakuwa imetosha. Watu wanaosomea masomo ya sayansi kiasili wengi wao hawaji kuwa viongozi wazuri,sijui ni makemikali ya huko maabara ndiyo yanachanganya bongo zao.Huyu wa sasa awe wa kwanza na wa mwisho,waliosomea masomo ya sanaa na biashara watatufaa zaidi.
Unawaogopa Mkuu?!Wamekusikia
Kwani wewe hapo unachekelea au unakenua tu mijino yako ya kulimia kama alivyokuahidi? Eti dawa ikuingie! Imedungwa na nani? Hivi huko ccm ndio kumejaa ma-illiterate na ma-semi-illiterate ndio maana mnaitikia tu mipambio ileile ya midege, mistigla na mireli kwa miaka mitatu kana kwamba hakuna single mpya! Hebu sema mtu wa nyasa anaijua hiyo mireli yenu na inamsaidiaje? Badilini cd kwani hii imechuja!JPM kaza hapo hapo, wameanza kulia vilio vya kila rangi.
TULIA DAWA IKUINGIE.
Kesi nyingine?Kwani wewe hapo unachekelea au unakenua tu mijino yako ya kulimia kama alivyokuahidi? Eti dawa ikuingie! Imedungwa na nani? Hivi huko ccm ndio kumejaa ma-illiterate na ma-semi-illiterate ndio maana mnaitikia tu mipambio ileile ya midege, mistigla na mireli kwa miaka mitatu kana kwamba hakuna single mpya! Hebu sema mtu wa nyasa anaijua hiyo mireli yenu na inamsaidiaje? Badilini cd kwani hii imechuja!
Tisha mang'ombe wenzako wewe ndafu tu! Kesi unazijua wewe? Au ni hizo zenye kutolewa huku kwenye simu?Kesi nyingine?
Kesi nyingine?Tisha mang'ombe wenzako wewe ndafu tu! Kesi unazijua wewe? Au ni hizo zenye kutolewa huku kwenye simu?
Huyu akimaliza muda wake itakuwa imetosha. Watu wanaosomea masomo ya sayansi kiasili wengi wao hawaji kuwa viongozi wazuri,sijui ni makemikali ya huko maabara ndiyo yanachanganya bongo zao.Huyu wa sasa awe wa kwanza na wa mwisho,waliosomea masomo ya sanaa na biashara watatufaa zaidi.
mhWe
We fala bado upo udanga mjini!
Aliyekudanganya Jiwe atatoka madarakani nani? Jiwe ndio kashafika Ikulu na mabegi. Juz kasema baada ya miaka kama 30 TZ inaweza kuwa kama UlayaHuyu akimaliza muda wake itakuwa imetosha. Watu wanaosomea masomo ya sayansi kiasili wengi wao hawaji kuwa viongozi wazuri,sijui ni makemikali ya huko maabara ndiyo yanachanganya bongo zao.Huyu wa sasa awe wa kwanza na wa mwisho,waliosomea masomo ya sanaa na biashara watatufaa zaidi.
Huyu hajasoma alirist masomo
Kingereza chako numekipenda. Ungekuwa me ningekupa yoooote!!