Hatuhitaji tena Rais aliyesoma masomo ya sayansi

Hatuhitaji tena Rais aliyesoma masomo ya sayansi

Aliyekudanganya Jiwe atatoka madarakani nani? Jiwe ndio kashafika Ikulu na mabegi. Juz kasema baada ya miaka kama 30 TZ inaweza kuwa kama Ulaya
Kwahiyo tumpe miaka 30.....kama ana 70 atamaliza akiwa na 100 the atatuachia tz ambayo ni ulaya
 
Sidhani kama hilo ni tatizo, nafikiri uongozi ni "Kipawa" anachokitoa Muumba na yeye amewapa wachache sana hicho kipawa.

Sio kila moja anaweza kuwa kiongozi ndio maana wengine wasio na vipawa na wakaukwaa uongozi kwa kismetj ndio wale ambao huishia kuwa madikteta.

So leadership is a divine prowess and it has nothing to do with one's professional achievements or economic status.

The former British Prime Minister Mr. Winston Churchill made a good leader despite his modest educational background and he has gone down in history as arguably the best prime minister in Britain's history.

In my view, we better have a leader with modest education who is humble and law abiding than the so called educated elites holding the dubious doctorate degrees who don't even understand the basic rudiments of leadership and who think that repression and coercion are the fundamental tenets of leadership. We can do away with these type of people as our leaders.
I love your presentation, content and your RICH SOUL!
 
Tatizo la siasa za Africa usalama wa taifa unaachia kila maamuzi wanasiasa, tofauti na wenzetu japokuwa vyama vya siasa ndio vinaunda serikari lakini wakiingia wanakutana na administration ambayo imejipanga kulinda maslahi mapana ya nchi ukija na sera ya ajabu ajabu watairekebisha kiasi kutoleta madhara either kwenye uhusiano wa kimataifa, uchumi and all other important social and security measures.

Na watu pekee wenye kuweza kuwamudu wanasiasa kwa nyanja zote ni senior civil servants basically kwa wenzetu wala sio siri wote ni maafisa usalama na hakuna wanao heshikima kama makatibu wakuu wa wizara, wakifuatiwa na wakurugenzi (kupitia kundi hili ndio utasikia wameteuliwa kushika nafasi za MI5 or MI6) sasa hadi kufika hapo shughuli yake sio ndogo kabisa.

Sio sisi tunapeana tu dhamana za kazi kubwa kubwa bila ya weledi wa kazi ndio maana kunakuwa na maamuzi ya ovyo mengi kwa sababu viongozi wa serikari wanaotoka kwenye vyama vya siasa awana timu ya washauri waliobobea wengi wao ni tia maji tia maji tu.
Umetoa madini tupu
 
Back
Top Bottom