Hatuhitaji tena Rais aliyesoma masomo ya sayansi

Hatuhitaji tena Rais aliyesoma masomo ya sayansi

Hata mimi nimewahi kuwaza hivi ulivyowaza.Inawezekana watu waliosoma sayansi(natural science) hawafai kuwa maraisi ingawa si wote.
Hapana mkuu, si hitimisho sahihi hili, watu waliosoma kiukweli hawanaga hulka za jiwe. Ni watu makini wanaofanya tafakuri ya kutosha kabla ya kutenda jambo. Natural science inatufundisha sana reasoning na logic. Jiwe haumii vyote hivyo, kasoma natural science gani? Ben alipohoji masuala haya wamempoteza hadi leo hajulikani kama yupo hai au wamemuua.
 
Kigezo kilichowekwa,mwenye sifa ya kugombea Urais awe na "Digrii Moja",Lakini kuwa na Digrii ya Pili (Masters) sio shida,tatizo ni kuwa na Digrii ya tatu(PhD),bora uipate ukiwa madarakani,sio kuiingia nayo!!!
 
tetesi zinadai hata yeye mwenyewe yupo tayari kurudisha mpira kwa refa..walichopanga EU kinampa homa
 
Huyu akimaliza muda wake itakuwa imetosha. Watu wanaosomea masomo ya sayansi kiasili wengi wao hawaji kuwa viongozi wazuri,sijui ni makemikali ya huko maabara ndiyo yanachanganya bongo zao.Huyu wa sasa awe wa kwanza na wa mwisho,waliosomea masomo ya sanaa na biashara watatufaa zaidi.
Huu ni mfano mzuri wa "simple minds discuss people ...................................................." malizia mwenyewe!
 
Never. Never. Never again. Hatutaki tena wanasayansi kwenye siasa. Wakafanye kazi ya kugundua dawa ya ukimwi, chanjo ya malaria, dawa ya kutu nk.
Nmecheka kwa vibration wasije sema chiziii
 
Huyu akimaliza muda wake itakuwa imetosha. Watu wanaosomea masomo ya sayansi kiasili wengi wao hawaji kuwa viongozi wazuri,sijui ni makemikali ya huko maabara ndiyo yanachanganya bongo zao.Huyu wa sasa awe wa kwanza na wa mwisho,waliosomea masomo ya sanaa na biashara watatufaa zaidi.
Kiongozi ongezea na wafanyabiashara pia hawafai ndicho kinacho ikumba USA kwa ss yule bwana ana yake kwenye maamuzi yake anatumia nafasi yake kufanya biashara zake haangalii ana athiri vp watu wake yeye anacheza na dola tu! Ishu ya huawei haiwagharimu huawei wenyewe na google na sio google pekee kuna ma kampuni kibao kazima ya yumbe na hapo ndipo anakua na maslahi yeye na watu wake hasa hisa na exchange rate
Asie muelewa trump na timu yake atapata shida
 
Hv Naul za mbasi/daladala zmepanda? Make kwa Ali Happy Wamepandishiwa Baadh Ya Ruti,nilikuwa natoka mjn Iringa kuelekea wanako lima kitunguu il nikamsalimie la Azz wangu niligongwa naul ambayo mwez wa kum na mbil sikutoa hyo. baadh ya mikoa tembeen kwene kwene daladala na pesa ya kutosha utakuja aibishwa hasa ukiwa mgen.sasa cjui Kwa Iringa Happy Anataka kuongeza Mapato Ya Mkoa Wake Il Jiwe Amsifie au la.
 
Back
Top Bottom