Hatuhitaji tena Rais aliyesoma masomo ya sayansi

Huyu akimaliza muda wake itakuwa imetosha. Watu wanaosomea masomo ya sayansi kiasili wengi wao hawaji kuwa viongozi wazuri,sijui ni makemikali ya huko maabara ndiyo yanachanganya bongo zao.Huyu wa sasa awe wa kwanza na wa mwisho,waliosomea masomo ya sanaa na biashara watatufaa zaidi.
Rais anapimwa kwa character.. sio masomo aliyosomea. Uongoz ni kipaji, sio kitu cha kufundishwa
 
Usichanganye huyu ni matatizo yake

Siyo lazima iwe hivyo, elimu pia ina mchango wake katika kumtengeneza kiongozi
 
Sayansi sio tatizo,tatizo ni taaluma ya ualimu,walimu wanapokuwa chuo husoma somo la uongozi lakini katika vitendo asilimia kubwa ya watu wenye taaluma hii sio wazuri katika uongozi,JAMAA ANATUONGOZA KAMA WANAFUNZI WA SESCO
 
Mimi nadhani na yale makemikali wanayokutana nayo maabara yanachangia sana
 
Elimu ni muhim pia. Lakin mtoa mada hapa anasema science si wazuri..
Nadhan haijalishi.ni arts biashara au science.. mtu anaweza tokea kwenye coz yoyote tu
Siyo lazima iwe hivyo, elimu pia ina mchango wake katika kumtengeneza kiongozi
 
Principal au Principles
Ni principles Mkuu,Wamsome Engineer Henry Fayols 14 principles of management humo ndani watakutana na triangle ya A gang plank hizo kanuni jamaa alizigundua mwaka 1916 baada ya kufanya kazi mgodini kwa muda mrefu.. mambo yapo wazi ukiwasoma na kuwaelewa wataalamu sio kukurupuka na mfumo wa hovyo hovyo kila kukicha utadhani sio Msomi bhana,
 
Back
Top Bottom