Hatuhitaji tena Rais aliyesoma masomo ya sayansi

Huyu akimaliza muda wake itakuwa imetosha. Watu wanaosomea masomo ya sayansi kiasili wengi wao hawaji kuwa viongozi wazuri,sijui ni makemikali ya huko maabara ndiyo yanachanganya bongo zao.Huyu wa sasa awe wa kwanza na wa mwisho,waliosomea masomo ya sanaa na biashara watatufaa zaidi.
Kwani umeambiwa tunatafuta Rais wa Wasanii? Mtageuza geuza mambo na kila rangi mtaziona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu akimaliza muda wake itakuwa imetosha. Watu wanaosomea masomo ya sayansi kiasili wengi wao hawaji kuwa viongozi wazuri,sijui ni makemikali ya huko maabara ndiyo yanachanganya bongo zao.Huyu wa sasa awe wa kwanza na wa mwisho,waliosomea masomo ya sanaa na biashara watatufaa zaidi.
Hatutaki wa Sanaa hao hawatema ukweli katika kutekeoezaji mwanasayansi mara zote husema ukweli mojakwamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu akimaliza muda wake itakuwa imetosha. Watu wanaosomea masomo ya sayansi kiasili wengi wao hawaji kuwa viongozi wazuri,sijui ni makemikali ya huko maabara ndiyo yanachanganya bongo zao.Huyu wa sasa awe wa kwanza na wa mwisho,waliosomea masomo ya sanaa na biashara watatufaa zaidi.
Kuongoza nchi hakuhitaji mbwembwe unazosema..Rais kasoma Siasa/Uraia shule ya msingi,Civics sekondari,na vitabu vingine vya siasa,Katiba ya Nchi na ya CCM anazo..kama unatafuta sababu juu yake hiki kigezo cha Sayansi ulipaswa Kumsifia pengine wewe ulikuwa upendi Physics na Chemistry au Shule haikuwa na Walimu..usifikiri kila anachofanya ni kibaya ata yeye ni Binadamu ukimchokoza anachukia
 
Mmezoea rais anayehangaika kumtaftia dayamondi koneksheni yamziki marekani huku taifa likiporwa mali? Taiga wanatoroshwa mkuu anabembea jamaika?!? Madini yanatoroshwa MTU anatunukiwa udokta hewa marekani?? Bulishiti saivi jembe limekaa sogeza kichwa ukwanguliwe!! Matatizo no machache tuu ukifananisha na mazuri mengine!! Hakuna binaadam asokosea kidogo.
 
Kuongoza nchi hakuhitaji mbwembwe unazosema..Rais kasoma Siasa/Uraia shule ya msingi,Civics sekondari,na vitabu vingine vya siasa,Katiba ya Nchi na ya CCM anazo..kama unatafuta sababu juu yake hiki kigezo cha Sayansi ulipaswa Kumsifia pengine wewe ulikuwa upendi Physics na Chemistry au Shule haikuwa na Walimu..usifikiri kila anachofanya ni kibaya ata yeye ni Binadamu ukimchokoza anachukia
Civics ya secondary haitoshi
 
Huyu akimaliza muda wake itakuwa imetosha. Watu wanaosomea masomo ya sayansi kiasili wengi wao hawaji kuwa viongozi wazuri,sijui ni makemikali ya huko maabara ndiyo yanachanganya bongo zao.Huyu wa sasa awe wa kwanza na wa mwisho,waliosomea masomo ya sanaa na biashara watatufaa zaidi.
Vyuma vimekaza mpaka mtu anachanganyikiwa. Pole mkuu moesy, huyu mpaka 2025.
 
Hata kama ni silver nitrate tufatilie kwa makini historia ya elimu yake ya awali mpaka chuo kikuu. Utagundua ya kuwa hata ile elimu ya darasani imejaa viraka, darasa la saba alifeli akajiunga na seminari, kidato cha pili alifeli akahamia shule nyingine na kidato cha nne alifeli akajiunga na chuo cha ualimu kwa ngazi ya stashahada. Halafu pamoja na hatua zote hizo alizopitia hajawahi kuwa kiongozi katika ngazi yoyote ile mpaka pale alipochaguliwa kuwa mbunge.
Kama ndio hivi basi watu waliofaulu vizuri ni maroboti wa fani/taaluma zao.Watu wenye ups and down ndio wanatoboa baada ya nyie mliofaulu haijalishi mmeangalizia kushindwa kupambana na kupata nafasi za Siasa.
 
Back
Top Bottom