Dawa inawaingia ndugu zako hujielewiJPM kaza hapo hapo, wameanza kulia vilio vya kila rangi.
TULIA DAWA IKUINGIE.
Dawa inawaingia ndugu zako hujielewiJPM kaza hapo hapo, wameanza kulia vilio vya kila rangi.
TULIA DAWA IKUINGIE.
Hahaha whoever edited it made my nightView attachment VID-20181222-WA0125.mp4Entrepreneurship....jamaa anashindwa kutamka....
JPM kaza hivyohivyo hadi tujue unafiki wa TZ unapoishia.Huyu akimaliza muda wake itakuwa imetosha. Watu wanaosomea masomo ya sayansi kiasili wengi wao hawaji kuwa viongozi wazuri,sijui ni makemikali ya huko maabara ndiyo yanachanganya bongo zao.Huyu wa sasa awe wa kwanza na wa mwisho,waliosomea masomo ya sanaa na biashara watatufaa zaidi.
Embu tamka wewe tusikie.Entrepreneurship....jamaa anashindwa kutamka....
Watatufaa kwa lipi? Tumeshawaona, wengi wa wasomi wa political science wamejaa porojo nyingi na maneno maneno ya kisiasa tu bila vitendo. Kwani unadhani tumesahau awamu za 2nd - 4th? Watu tulikuwa na kiu ya maendeleo, wao walikuwa wamejaa siasa siasa na maneno matupu. Hatutaki tena marais wa hivyo, hao waliopita wabaki kwenye vitabu vya historia tu. Mwalimu aliwahi kusema " ... wakati wenzetu wanatembea, sisi inabidi tukimbie". Tunahitaji raisi atakayetukimbiza km JPM anavyochanja mbuga.Huyu akimaliza muda wake itakuwa imetosha. Watu wanaosomea masomo ya sayansi kiasili wengi wao hawaji kuwa viongozi wazuri,sijui ni makemikali ya huko maabara ndiyo yanachanganya bongo zao.Huyu wa sasa awe wa kwanza na wa mwisho,waliosomea masomo ya sanaa na biashara watatufaa zaidi.
Wacha hizo mkuu watu wasayansi huwa wanataka fact kama ni yes ni yes kama ni no ni no.Wako practical orriented ndomaana unaona maendeleo katika maflyover madenge, stiggler's goerge, mabarabara yote yameweza kufanywa, na hiyo ndo sifa halasi ya mtu aliyesoma sayasi kwamba anauwezo mkubwa wakufikiri na kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja hii inadhihirishwa hata huko mashuleni watu wanaochukua sayasi wanasoma hadi masomo ya sanaa lakini vice versa is not true. Ungesema watu wa sayasi hawana siasa za porojoporojo hapo tungekuwa pamoja.Huyu akimaliza muda wake itakuwa imetosha. Watu wanaosomea masomo ya sayansi kiasili wengi wao hawaji kuwa viongozi wazuri,sijui ni makemikali ya huko maabara ndiyo yanachanganya bongo zao.Huyu wa sasa awe wa kwanza na wa mwisho,waliosomea masomo ya sanaa na biashara watatufaa zaidi.
Principal au PrinciplesWengi wanalidharau lile somo la Principal of management (PM) ndio tatizo linaanzia hapo hawajui kanuni za uongozi kabisa,
Mkuu Lusungo, mbilikimo nani?Uuh mrembo wangu Uguswelana nipe mimi hayo yote nnatema yai huyo mbilikimo wenu hatii hata ukucha njoo baby
Hakuna shule au chuo kinachofundisha urais duniani, msibague watanzania! Kati ya Rais anayetekekeza majukumu ya kitaifa kupita awamu zote ni JPM. Yeye anataka kuona reaction is complete and reaction product seen! Wewe hangaika na hao wanasaa wakoUnajua nyoka akikuuma ata ukikanyaga kijiti unashtuka
Umeona wanafaa kubaki uko maabara kufanya kazi zinazowafaaNever. Never. Never again. Hatutaki tena wanasayansi kwenye siasa. Wakafanye kazi ya kugundua dawa ya ukimwi, chanjo ya malaria, dawa ya kutu nk.
Aliyekudanganya Jiwe atatoka madarakani nani? Jiwe ndio kashafika Ikulu na mabegi. Juz kasema baada ya miaka kama 30 TZ inaweza kuwa kama Ulaya[/QUO)
Hana ubavu
Ngoja tuendelee na wanart na waliosoma biashara wanaunafuu mkubwa .Hakuna shule au chuo kinachofundisha urais duniani, msibague watanzania! Kati ya Rais anayetekekeza majukumu ya kitaifa kupita awamu zote ni JPM. Yeye anataka kuona reaction is complete and reaction product seen! Wewe hangaika na hao wanasaa wako
Kinachowapungua wanasayansi ni leadership skills,hekima na busaraWacha hizo mkuu watu wasayansi huwa wanataka fact kama ni yes ni yes kama ni no ni no.Wako practical orriented ndomaana unaona maendeleo katika maflyover madenge, stiggler's goerge, mabarabara yote yameweza kufanywa, na hiyo ndo sifa halasi ya mtu aliyesoma sayasi kwamba anauwezo mkubwa wakufikiri na kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja hii inadhihirishwa hata huko mashuleni watu wanaochukua sayasi wanasoma hadi masomo ya sanaa lakini vice versa is not true. Ungesema watu wa sayasi hawana siasa za porojoporojo hapo tungekuwa pamoja.
Mimi ni me ngoja nipige English unipe yooote.Kingereza chako numekipenda. Ungekuwa me ningekupa yoooote!!